Recent content by makev

  1. makev

    JamiiForums Tanzania Jifunze kilimo cha nyanya

    Ntafurahi
  2. makev

    JamiiForums Tanzania Jifunze kilimo cha nyanya

    Mkuu eden na asila gm5 na gm10 wanauzaje? Msaada plz nataka nipande kati ya hizo mbegu
  3. makev

    JamiiForums Tanzania Kaambiwa anaugonjwa wa rheumatoid arthritis

    Kwahiyo hizi dawa zinapunguza tu inflammation lakini zile complications kama damage ya vidole hazitampata?
  4. makev

    JamiiForums Tanzania Kaambiwa anaugonjwa wa rheumatoid arthritis

    Dalili zake joint za kwenye mkono karibu na vidole, joint za magoti zinakaza pia kuvimba, anachemka na maumivu makali. Ametumia predinesolone inapunguza kwa mda mrefu inapunguza tu maumivu lkn hali iko vilevile.
  5. makev

    JamiiForums Tanzania Kaambiwa anaugonjwa wa rheumatoid arthritis

    Poa
  6. makev

    JamiiForums Tanzania Kaambiwa anaugonjwa wa rheumatoid arthritis

    Uko mkoa gani?
  7. makev

    JamiiForums Tanzania Kaambiwa anaugonjwa wa rheumatoid arthritis

    Unapatikana mkoa gani mkuu
  8. makev

    JamiiForums Tanzania Kaambiwa anaugonjwa wa rheumatoid arthritis

    Asante mkuu mida nitakutafuta mana jamaa kashanza hana amani kabisa
  9. makev

    JamiiForums Tanzania Kaambiwa anaugonjwa wa rheumatoid arthritis

    Habari wanajf naomba ushauri ninandugu yangu kapimwa akaambiwa anaugonjwa wa rheumatoid arthritis na kwa mjibu wa madactari niliowaulizia kuhusu huu ugonjwa wanasema huu ugonjwa hauna dawa ya kuponesha ila kutuliza tu hiyo hali , msaada tunamnusulu Vip huyu mtu mana saizi anamawazo Kweli...
  10. makev

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kampuni zinazohusika na kusafirisha mizigo kutoka China

    Habar yako THE GOD FATHER na saiz uko China au hap tz mwenyewe Nina mpango wa kuagiza mzigo huko China mana nasikia huko China bei uko chini sana nahitaji juicer
  11. makev

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu mbegu za nyanya

    Habari zenu wadau mbona mmenyamaza naombenu mnisaidie hapo juu kuhusu greenhouse
  12. makev

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu mbegu za nyanya

    Msaada
  13. makev

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu mbegu za nyanya

    Ni mbegu ipi inayorefuka hadi mita nane ili iwe chaguo langu, halafu kilimo chagreen house lazima umwagiliaji uwe wa droplets? Maaada jamani
  14. makev

    JamiiForums Tanzania Vifaa vya kilimo na usindikaji wa vyakula (Maziwa) toka Uholanzi/Holland

    kati ya hizo machine hakuna iliyondogo zaidi kama ipo inapeleka shingapi kwa setup yote.
  15. makev

    JamiiForums Tanzania Kutengeneza incubator

    Poa
Back
Top Bottom