Naomba kujua kampuni zinazohusika na kusafirisha mizigo kutoka China

Wanadau
Naomba kujua majina ya maa agents wa kisafirisha mizigo kutokea china kuja Tanzania.

No zao

Ofisi zao kwa hapa Tanzania

Na bei zao mara nyingi zikoje?

Nawakilisha
Dar hutapata wamejaa matapeli tu,zipo nairobi
 
nataka kuagiza mzigo aliexpress kutoka china na mzigo unatumwa kwa njia ya posta mm nipo arusha arumeru huku huo mzigo ukitumwa kwa posta utafika hapa arusha ama unaishia posta dar?
 
Mmmmhh nina rafiki yangu yupo china labda nikupe namba yake uchat nae anawasidia.watu wengi kupata mizigo yao vipi nikupe namba yake? Kama vipi njoo pm mkuu
Jamaa anahitaji kampuni unamletea mtu wabongo bhana akizima simu atamuliza nani?
 
Company gani inasafirisha mizigo toka instambul turkey kuja Dar. Naomba mnijuze wadau.
 
Kila mtu nichek hapa nicheck hapa..... disko vumbi teenah.

Nicheck mimi niko china ntakusaidia.. ila narudi mwanzon mwa mwez wa 8
 
Silent ocean wako cheap sana ofisi zao ziko karikoo ndio wasafirishaji wa mizigo mingi ya wafanyabiashara wa tz from china.
By the way ni mzigo mkubwa au kiparcel?
waweza kunitumia namba yao ya simu mkuu naminawahitaji hawa
 
Naomba Kufahamishwa Makampuni ya kusafirisha mizigo kutoka Hapa Tanzania kwenda inchi za nje za falme ya warabuni kama Oman nk kwanjia ya meli na anga.
 
Back
Top Bottom