Recent content by makelejasix

  1. M

    Kisa status ya whatsapp, hanielewi kabisa

    Tuma picha yako kwanza ndio nikushauri
  2. M

    BAVICHA mnajiskiaje mlivyokua mnawahi kuleta thread za mafuriko ya Lowassa akaambulia viboko vya pua

    Wewe ndo tukuulize kwa nini ulimsaliti lowassa wakati ulikula hela yake
  3. M

    For JamiiForums Mobile users

    Njia nyepesi ya kuweka link kwenye thread,nawe njoo upate ujuzi hapa
  4. M

    Nifanyaje?

    Ukisikia kutunzwa wewe unaelewaje kwanza,sijakuelewa.Mimi namaanisha atakaekuwa na mapenzi na Mimi sio mzinguaji malaya
  5. M

    Nifanyaje?

    Kabisa
  6. M

    Nifanyaje?

    kimsingi nimemisi kitu cha msingi sana,mpaka nahisi akili zimevurugika.nilivyokuwa mikoani nimewahi kumiliki kademu kangu kalembo kalikuwa kananitunza ila kwa sasa kameshaolewa Sasa ninachosikitika nimekoswa kabisa demu wa maana anayejiheshimu ambaye tunaweza tukapima tukaanza nae mahusiano...
  7. M

    Nilikabwa nikanyang'anywa simu ya android, nawezaje kuipata??

    Siku jumamosi nilikabwa nikanyang'anywa simu yangu bahati nzuri nikafanikiwa kubaki na mmoja wa hao watu wakabaji.kwa sasa Mimi ninajiuliza nitaipataje maana hata aliyekamatwa kagoma kutoa ushirikiano anaweza akafungwa na simu yangu ya android nisiipate.imei namba yake ninayo.nilijaribu kuiserch...
Back
Top Bottom