Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,233
Ha!ha! Nyakati zinaenda Kasi sana yaani Nikua nikiamka mida ya Saa 9 Usiku nakutana na Nyuzi eti Yanayojiri Mafuriko ya Edward Lowassa Mwanza.
Pamoja na Ulaghai Wote huo Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa Kashifa ya Kuwabia watanzania/Ufisadi hakuambulia chochote mbele ya aliyekua Waziri wa Ujenzi naye si Mwingine ni Rais Dr. Magufuli aliyemgaragaza Vibaya Uchaguzi wa Mwaka 2015.
Kesho naomba Vijana wa Bavicha muanzishe Uzi kama kumuunga Mkono Rais wetu Katika Juhudi zake za Kupambana na na Wezi wa Madini.