Recent content by makavu

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kizazi cha wanaume wahongaji chapotea taratibu, kizazi cha wanaume bahili chashika chati kwa Kasi!

    duuuuuuuuu,hyo kali ya 2014 aiseee.inabid nasi tkuze uzi maan 2kilegeza 2talea mpka na familia za wanaume wetu.hii balaaa.
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Say something about your mother in law

    hili suala la mama mkwe,ni gum kidog kwa sababu mama wakwe wengine wanatofautian mawazo.wengine walishazoea kulelewa na watoto wao then mtto anapooa na kuanza kupunguza majukum kwa mzazi ndipo mama mkwe anaona kma mkamwana anabana kumbe zile pesa sasa zinaenda kwa watoto.ndipo hpo huanza...
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nani kasema mapenzi sio pesa...?

    mapenz ni pesa,mana kila ki2 siku hz ni pesa,mtapendana afu mtakaa wap?mtakula nn?mtatibiwa nn.nk.vyote hvyo ni pesa mkuu.
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri unahitajika kunusuru roho ya mtu!

    namuunga mkono,anaejiua hatangaz hyo ni gia 2 ya kumrudia.aendelee na msimamo huohuo bidada mana mwanaume alimuona wa nn sasa inakuaje amwone tena wa maana.msemo upo ukisema wa nn wenzio wanasema watampat lini.asikubali kuwa chombo cha kustareheshwa 2.
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wamama kuogopa watoto wao

    hello.hivi kwanini utakuta mama amezaa watoto kma wanne hvi, afu ktk hao mmoja wao anamuogopa.(mwanaume)hta hawez kumwambia ladba amsaidie ki2 fulan mpk smtms apitie/amwambie kwa mke wa mtoto wake hyo.je ni kwa nini hutokea hvyo smtms?
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Which of these is the Hardest to find in life..

    virgins so easy 2 get,zpo nying za kutengeneza za kienyeji na kizungu wewe 2. jobs.....inadepend na unavyowajua wa2 ktk hyo secta ,kma hujui inadepent na kismart. true love .....asilimia 10% tu mana wa2 wapo after money.wenyew wanasema heri maisha mafupi kuliko marefu yenye karaha. chukua hyo
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini ukishaoa ndugu wa w/wake huamia kwako?

    hyo sio researsh mkuu,mana umeshuhudia sehem. alaf mi pia nimeshuhudia upande wa mume ndo wanapenda kuhamia kwa ndug yao.(wa kiume)kuna case moja hvi hyo mume hawajajipanga bdo alafu akataka kumleta mtto wa (siblings wake mmoja)aje akadai kuwa wanamsomesha wte(ndugu baadhi) kumbe ni uongo...
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujumbe wa leo: Mama Mkwe

    hpo umesema shosty.mama mkwe sio mama ako hta.tena ukimuweka kama mamako utalia wengi sio wazuri.lkn ina2paswa 2waheshimu 2.mm mama mkwe wangu alitaka kunivuruga tena si kidog,ndoa ingekufa kma ningekuwa lele mama.mpk sawa chezea mm wewe.kingine, umpate mwanaume anaempenda mamake sana au last...
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wasiozaa (wagumba)...

    inawezekan wakawa hawajapata mr right man or woman wa kuzaa nao.au bdo hawaja settle ktk maisha.mana ni vzr kujipanga mana watoto wanataka malez mazuri ya wazazi wte wawili.
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simuelewi hyu mr wangu.

    mimi sion shida yy kusaidia sema aniweke waz nijue.na wala simkataz sema isiwe too much mpk na ye ajisahau aishiwe hela ya nyumbani.na nilishamwambia kwamb ukisaidia niambie sio kwa ubaya ili nijue.
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simuelewi hyu mr wangu.

    Mimi ni mdada nimeolewa na nina watoto.tatizo ni mume wangu kabadilika sana.Anataka nimsaidie majukumu yake kwa asilimia kubwa na wakati ana kipato kikubwa.nimegundua kuwa hela anazopata kiasi kikubwa kinaenda kwao kwa mzazi wake na ukimuuliza anakuw mkali.sijakataa yeye kusaidia familia yke...
  12. M

    JamiiForums Tanzania hello

    Hi! mimi ni member mpya katika hii safu.
Back
Top Bottom