Hilisio tatizo hata kidogo, ni wewe unafikiria kuwa ni tatizo. Mimi nitasema hivi:
1. Wewe unahitaji mafunzo ya haki na wajibu kwenye mahusiano na watu na katika hili, haki yako kwenye ndoa yako. Unaishi kwenye ndoa kwa assumptions. Futa assumptions zote na tafuta kujua reality ni nini.
2. Wewe umezoea mambo yaliyonyooka, na ikitokea jambo usilolipenda unaona kama dunia imeisha - una tabia ya kunyoosha yakwako. kama yako yanakwenda basi, mengine wewe hayakuhusu.
3.Jifunze namna nzuri ya kutatua matatizo yako kwa lengo la kufanya mahusiano yako na ndoa yako and indeed your whole welfare to be better than it was before. Matatizo ni opportunity yako ya kuonyesha uwezo wako wa kutatua na kujifunza. Acha kuishi kwenye ndoto. Karibu duniani. Hukuolewa kwenda beach, umeolewa kuongeza nguvu ya pamoja kutatua matatizo ili wewe pamoja na familia, jamaa,nchi na dunia iwe nzuri zaidi kupitia jitihada zako.
4.Ni kweli kuwa baadhi ya wazazi na ndugu au marafiki huwa wanahitaji msaada wetu wakati fulani. Ni wajibu wetu kujua tunategemewa.Hivyo tunapaswa kujijenga kielimu/kiuchumi ili tuwe msaada au tuweze wasaidia wale wanaohitaji msaada wetu. hii sio wazazi au ndugu peke yao bali hata marafiki au yatima,vikongwe.
5.Bora huyo anaepeleka pesa kusaidia wanadamu wenzio kuliko angekuwa anapeleka bar au kaoa au ana nyumba ndogo.
SOLUTION
Tatizo lako sio linaanza bali ni tatizo ambalo limekuwapo siku nyingi. You dont have a vision for your marriage. Wewe na mume wako mna shida ya :
1. Mawasiliano - hamuongei kupanga mipango ya familia/ fedha/ mipango ya raha zenu
*Nadhani hata sex huwa mnafanya usiku,mkiwa mmejifunika,mnakamatana ndani kwa ndani (shame)
*Nadhani hata watoto mlio nao hamkuulizana kama mpate mimba au la, mlishtukia hupati siku zako baaas! Mkaamua azaliwe. (Shame)
*Nadhani masuala ya pesa anaamua aliyeleta pesa hizo (zako za saloon na za baba za kujenga) (shame)
CHA KUFANYA
Renew your mind - anza kuvunja shida yenu ya kukosa ukweli na unyenyekevu (Acha mashindano)
*Jifunze mawasiliano na Upendo wa kweli
*Jifunze kupanga maisha (sio ya kuangalia kwenye TV - tafuta njia mpya kabla hujaisha!