Ushauri unahitajika kunusuru roho ya mtu!

Ni mahusiano ya miaka saba, na mtoto wa miaka 5, hawajaoana

Mwanzoni wa mahusiano ndugu za mwanaume hawakumtaka mwanamke kwa kuwa ana imani tofauti, lakini mwanaume aling'ang'ana

wamejenga nyumba mbili pamoja moja ipo Dar moja Kijijini kwa mwanaume. mwanaume anaishi kwenye nyumba ya Dar, mwanamke anaishi kwa wazazi wake.

Tangu 2010 mahusiano yamekuwa ni machungu kwa mwanamke mana alikuwa akipaa lugha za kejeli, matusi, vipigo na kutojaliwa. wameacha zaidi ya mara tano na kurudiana.

Kuna kipindi mwanamke aliambiwa hakupendwa, aliumia akalia lakini bado alimsamehe. wakaendelea.

katika siku saba za wiki watafurahi kwa siku moja au nusu siku the rest ni maumivu kwa mwanamke.

sometime mwanamke alikuwa akimuambia kuwa atachoka,lakini kidume atasema "utaenda wapi wewe", "mie siachwi".na maneno kedekede ya kejeli. akiombwa waongee anasema "wimbo wa taifa"

sasa mwanamke kachoka amemuacha huyu kijana tangu mwaka jana May lakini kidume kilijua ndo yaleyale atarudi tu.mpaka navyoandika hapa mwanamke kashikilia msimamo wake.

kuna usemi unasemwa 'what goes around come around'. ndo yanayomkumba mwanaume sasa.kapita kwa ndugu wote, rafiki wote,anamfwata nyumbani na kazini, bi dada hamtaki.kafikia hatua ya kulia kama mtoto aliyepigwa,bi dada wapii.sasa kafikia hatua mbaya ya kusema atajiua. je anaweza kujiua kweli au mkwala, je amtafutie watu wa kuongea nae au nini afanye?ni maswali anajiuliza bi dada hapati jibu. ndo nimeamua kuleta jamvini, mana Hapo bi dada kaogopa, hajui afanyeje,mana hataki kurudi mana anasema aliteseka sana, na amepata anayemthamini na kumpenda kwa dhati.

Anahitaji ushauri wenu wa busara wajameni.
kama kujiua mbona angeshajiua tangu hiyo may..bhana..halafu ukimng'ang'ania mwanamke anakuona boya...pili hawezi kuonesha mapenzi kama yale alokua anakuonesha mwanzoni..sababu mapenzi hayalazishwi..nilishawahi force lakini ishu ikwa sio kivile nikapotezea..sasa hivi nafeel vizuri ajabu...kama vipi jamaa ajitahidi tu aaachane nae manzi..unapong'ang'ania mwanmke unajinyima chance ya kupata wengine coz ur still stuck in the dark...
 
Kama hivyo ndivyo basi tena, haina haja basi, amwambie wazi kuwa haiwezekani na nakuhakikishia jamaa hawezi kujiua.

Sorry niulize, bidada kashapata pumziko lingine la moyo nini?

hahaha ulijuajee,kapata na jamaa yuko serious anataka kuchukua jumla keshampeleka kwao na anategemea kumvalisha pete, sasa kero za baba mtoto zinamuweka njia panda bidada
 
Ni mahusiano ya miaka saba, na mtoto wa miaka 5, hawajaoana

Mwanzoni wa mahusiano ndugu za mwanaume hawakumtaka mwanamke kwa kuwa ana imani tofauti, lakini mwanaume aling'ang'ana

wamejenga nyumba mbili pamoja moja ipo Dar moja Kijijini kwa mwanaume. mwanaume anaishi kwenye nyumba ya Dar, mwanamke anaishi kwa wazazi wake.

Tangu 2010 mahusiano yamekuwa ni machungu kwa mwanamke mana alikuwa akipaa lugha za kejeli, matusi, vipigo na kutojaliwa. wameacha zaidi ya mara tano na kurudiana.

Kuna kipindi mwanamke aliambiwa hakupendwa, aliumia akalia lakini bado alimsamehe. wakaendelea.

katika siku saba za wiki watafurahi kwa siku moja au nusu siku the rest ni maumivu kwa mwanamke.

sometime mwanamke alikuwa akimuambia kuwa atachoka,lakini kidume atasema "utaenda wapi wewe", "mie siachwi".na maneno kedekede ya kejeli. akiombwa waongee anasema "wimbo wa taifa"

sasa mwanamke kachoka amemuacha huyu kijana tangu mwaka jana May lakini kidume kilijua ndo yaleyale atarudi tu.mpaka navyoandika hapa mwanamke kashikilia msimamo wake.

kuna usemi unasemwa 'what goes around come around'. ndo yanayomkumba mwanaume sasa.kapita kwa ndugu wote, rafiki wote,anamfwata nyumbani na kazini, bi dada hamtaki.kafikia hatua ya kulia kama mtoto aliyepigwa,bi dada wapii.sasa kafikia hatua mbaya ya kusema atajiua. je anaweza kujiua kweli au mkwala, je amtafutie watu wa kuongea nae au nini afanye?ni maswali anajiuliza bi dada hapati jibu. ndo nimeamua kuleta jamvini, mana Hapo bi dada kaogopa, hajui afanyeje,mana hataki kurudi mana anasema aliteseka sana, na amepata anayemthamini na kumpenda kwa dhati.

Anahitaji ushauri wenu wa busara wajameni.

Kama anataka kujiua manake aweza kuua pia! Bora ajiue yeye kuliko kuua mtoto wa wengine! Bibi hapana fuata hii bwana hatari
 
hahaha ulijuajee,kapata na jamaa yuko serious anataka kuchukua jumla keshampeleka kwao na anategemea kumvalisha pete, sasa kero za baba mtoto zinamuweka njia panda bidada

Nilihisi tu kutokana na msimamo wa bidada.

Basi asigeuke nyuma, kama anahisi mkaka mpya ni mstaarabu na anaejua maana ya mke, aendelee nae tu.

Unajua sisi kina kaka mara nyingi huwa tunaona umuhimu wa bidada siku ukimkosa! Ni somo hata kwa baba mtoto pia, ajifunze kujali siku akipata bidada mpya na yeye
 
  • Thanks
Reactions: Hun
kama ame baki na nyumba zote mbili sio mbaya abaki nazo tu mbona ndio poa yaani ame achwa na mali hiyo ndio fresh mm napenda wana wake wanamna hiyo
 
bidada anasema hajali kuhusu hizo nyumba amemwachia anachotaka yeye ni happiness yake na ya mtoto,mana alikuwa akimgombeza na kumpiga mbele ya mtoto mpaka mtoto anamwambia "mwache mummy".
 
namuunga mkono,anaejiua hatangaz hyo ni gia 2 ya kumrudia.aendelee na msimamo huohuo bidada mana mwanaume alimuona wa nn sasa inakuaje amwone tena wa maana.msemo upo ukisema wa nn wenzio wanasema watampat lini.asikubali kuwa chombo cha kustareheshwa 2.
 
Ni mahusiano ya miaka saba, na mtoto wa miaka 5, hawajaoana

Mwanzoni wa mahusiano ndugu za mwanaume hawakumtaka mwanamke kwa kuwa ana imani tofauti, lakini mwanaume aling'ang'ana

wamejenga nyumba mbili pamoja moja ipo Dar moja Kijijini kwa mwanaume. mwanaume anaishi kwenye nyumba ya Dar, mwanamke anaishi kwa wazazi wake.

Tangu 2010 mahusiano yamekuwa ni machungu kwa mwanamke mana alikuwa akipaa lugha za kejeli, matusi, vipigo na kutojaliwa. wameacha zaidi ya mara tano na kurudiana.

Kuna kipindi mwanamke aliambiwa hakupendwa, aliumia akalia lakini bado alimsamehe. wakaendelea.

katika siku saba za wiki watafurahi kwa siku moja au nusu siku the rest ni maumivu kwa mwanamke.

sometime mwanamke alikuwa akimuambia kuwa atachoka,lakini kidume atasema "utaenda wapi wewe", "mie siachwi".na maneno kedekede ya kejeli. akiombwa waongee anasema "wimbo wa taifa"

sasa mwanamke kachoka amemuacha huyu kijana tangu mwaka jana May lakini kidume kilijua ndo yaleyale atarudi tu.mpaka navyoandika hapa mwanamke kashikilia msimamo wake.

kuna usemi unasemwa 'what goes around come around'. ndo yanayomkumba mwanaume sasa.kapita kwa ndugu wote, rafiki wote,anamfwata nyumbani na kazini, bi dada hamtaki.kafikia hatua ya kulia kama mtoto aliyepigwa,bi dada wapii.sasa kafikia hatua mbaya ya kusema atajiua. je anaweza kujiua kweli au mkwala, je amtafutie watu wa kuongea nae au nini afanye?ni maswali anajiuliza bi dada hapati jibu. ndo nimeamua kuleta jamvini, mana Hapo bi dada kaogopa, hajui afanyeje,mana hataki kurudi mana anasema aliteseka sana, na amepata anayemthamini na kumpenda kwa dhati.

Anahitaji ushauri wenu wa busara wajameni.

huyo mwanaume bwn, alipopendwa hakupendeka sasa ivi hapendwi yeye ndio ajidai kupenda ..kha!!!!!!!!
Uzuri wa mtu utaujua pale unapomkosa, ss ndio anamfeel..
Nashauri huyo dada aachane naye huyo mwanaume anachotaka ni kumuharibia tu mahusiano yake mapya halafu atarudia yale yale, mtu km hakuwezza kubadilika kwa miaka 7 atabadilika leo?
mwisho hakuna mapenzi ya huruma, alishampa chansi akachezea aachane nae..
 
mbaya zaidi akiona harudiwi,na huyo jamaa akijua kuwa huyo dada ana mtu,asije akamuua huyo dada nakiua yeye ili wakose wote.huyo yanatokea hayo
 
Ajiue tena afike salama aendako,dada kama kaamua na amepata ampendae asirudi nyuma,ashikilie msimamo wake,amuulize anataka kujiua kwa njia ipi,kama kujinyonga amnunulie kamba, na kama ni sumu amnunulie ile kali ambayo akitia mdomoni haponi,vitisho tu kaona amemwagwa na hakutarajia!
 
ajiue tu....si anaacha mwenyewe ugali. Nyamachoma mziki kazi pesa na kuabudu.

Mwambie apumzike kwa amani
 
Atafute watu wazima wamshauri huyu kijana, ingawa kupigwa chini ni issue lakini kwa situation ilivo ni vizuri zaidi kwake akakaa mbali na huyo mwanamke. Ajue mwanamke ni mtu mvumilivu sana (hasa akikupenda) ila akibadili mawazo ndio basi tena, ameshapoteza tena
 
Ishu nyingne hazihitaji ushauri, ni kufanya maamuzi tu..
.
"Nenda mwalimu", mpenzi alikupenda but sheitwan amekupenda zaidi!
 
Hawezi kujiuwa hata siku 1 huo mkwala tu kama kapata mwengine aendelee nae
 
Mi nazani njia pekee ya huyo jamaa kuonesha hatanii ni kujiua kiukweli kweli! Ila muulize kitu kimoja, je huyo jamaa anaweza kusingizia kuzimia? Kama hawezi, basi hawezi kuzingizia kufa wakati hata kuzimia hawezi!
 
Huyo mwanaume ajiue tu alizoea kumyanyasa mtoto wa watu alidhani mazuri
 
Mwambie ajiue fasta ili amuache mwanamke aishi kwa amani.
 
I will never look back yooooooom .Damn how can u play with my feelings to such extent.

Naamini huyo dada imemgharimu sana (maumivu ya moyo, muda, fedha n.k) kufika hapo alipo sasa yani kukubali kuwa anaweza kuishi bila huyo jamaa.

Sasa akichemkaa hapa imekula kwake .. Naweza kusmell huyo jamaa ana lengo flani kama sivyo basi kuna shida mahala.

Haiiningii akilini mmeshabreak na kurudiana 5times then unafikiri ya 6 ita work. KALAGHABAHO ..

Aende zake hukoo.. Au kesha ukwaa anataka washeee mtcheeeeeeeeeeew....

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kama mwanamke anajiua for a man hashindwi huyo mwanaume kujiua though kwa mimi naona ni upuzi kujiua sababu ya mapenzi, alitesa mwanzo na sasa ni zamu yake kuteseka..lol
Huyo mama ashikilie msimamo wake, wengine hula matapishi but mimi nisingerecommend
 
Back
Top Bottom