Recent content by Makavengaaa

  1. M

    Dar: Rayvanny afikishwa Kituo cha Polisi

    Dah mm pia nilikuwa nakifiria hicho hicho
  2. M

    Tambua uelekeo wa dishi katika satellite za chaneli (picha za madishi)

    Unalipia ama umetumia utaalam kupata hizo sports channels
  3. M

    Nina tatizo la kutoisha mkojo, nikimaliza kukojoa nikikaa baada dk 20 naskia mkojo tena. Nikimaliza kukojoa mwisho matonematone hutoka

    Ukipata dawa nijulishe mkoa niliopo wameniambia mpaka niende muhimbili nikachek kibofu. Kwa jinsi ulivyoelezea mimi na wewe tunafanana asilimia mia kwa hilo tatizo la kukojoa mara kwa mara
  4. M

    Sammata aipasua ngome ya Liverpool iliyomshinda Messi

    Messi ana record zaid ya 100 ambazo samatta hatokuja kuzikaribia wacha kuvunja
  5. M

    Kivuli cha dude kubwa cha kutisha kinanisumbua usiku

    Sijasema malaika wala jini, nimeuliza hichi kivuli ni cha nini Sasa inakuwaje mama na ndugu wameshindwa wakati huku mm nikiwa nakiona. Siogopi kulogwa wala sijawah kuwaza kama nimelogwa
  6. M

    Kivuli cha dude kubwa cha kutisha kinanisumbua usiku

    Usingiz wa usiku tu sijaupata mda mrefu ila kama kulala nalala mchana. Huko mm siwez kwenda ndugu yng nikapate dhambi ya shirk
  7. M

    Kivuli cha dude kubwa cha kutisha kinanisumbua usiku

    Sitting room na dining zmeshikana Sasa huwa napenda kunywa chai usiku. Mara zote kivuli kimenitokea nikienda kuchukua chai au maji kwenye friji
  8. M

    Kivuli cha dude kubwa cha kutisha kinanisumbua usiku

    Nitajaribu hii usingiz wa usiku siujui mwez wa saba sasa
  9. M

    Kivuli cha dude kubwa cha kutisha kinanisumbua usiku

    Ingelikuwa ni bangi nisingeandika thread au ningeitaja
  10. M

    Kivuli cha dude kubwa cha kutisha kinanisumbua usiku

    Sijawah kuua, kudhulumu nayo nishawah kula hela ya mtu alizidisha katika hela zake
  11. M

    Kivuli cha dude kubwa cha kutisha kinanisumbua usiku

    Je itaondoa hali hii moja kwa moja
  12. M

    Kivuli cha dude kubwa cha kutisha kinanisumbua usiku

    Sijawah kuua wala kumsababishia mtu ajali
  13. M

    Kivuli cha dude kubwa cha kutisha kinanisumbua usiku

    Sijawah kuua mtu wala kumsababishia mtu ajali
  14. M

    Kivuli cha dude kubwa cha kutisha kinanisumbua usiku

    Hapa aisee nina maden kibao, namwomba Allah anijaalie niyalipe. Ila ndo iwe sabab ya kujiwa na kivuli hata kama si kumuibia tulikubaliana
Back
Top Bottom