Kivuli cha dude kubwa cha kutisha kinanisumbua usiku

Makavengaaa

Member
Joined
Mar 6, 2019
Messages
36
Points
125

Makavengaaa

Member
Joined Mar 6, 2019
36 125
Waswahili huwa na usemi wao
unaosema CHA MTU MAVI UKIKIONA
KITEME sasa bwana nikushauri jambo moja kama umewahi kuchukua kitu au mali ya mtu iwe kwa bahati mbaya au kwa makusudi fanya kurejesha hiyo mali au hicho kitu kwa mwenye nacho, hilo tatizo lako litakwisha kabisa...!!!!
Hapa aisee nina maden kibao, namwomba Allah anijaalie niyalipe.
Ila ndo iwe sabab ya kujiwa na kivuli hata kama si kumuibia tulikubaliana
 

Mgirik

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Messages
11,944
Points
2,000

Mgirik

JF-Expert Member
Joined Apr 27, 2013
11,944 2,000
Habari zenu wadau wote wa JF.

Nimepata tatizo ambalo silielewi, kwa muda mrefu nimekua nikiona kivuli cha mtu cheus nikigeuka kinapotea ila hiyo hali haikunipa shida nilidharau halaf ilikuwaga ni home tu, Ila sasa hv hata nikiwa kwengine.

Sasa kuna kivuli hicho kimenijia kwa mara ya tatu sasa hicho hakipotei kinakaa na huwa kwenye kuta za sitting room taa zikiwa zimezimwa usiku wa manane.

Leo hii ni mara ya tatu, huwa nakiona nikiwa macho yanaangalia pemben nikigeuka nikiface kinapotea sasa leo nimemwita mama nikamwambia kile kivuli nachokwambia kiko ukutan vipi unakiona huku mm nikiwa naangalia pemben lakini nakiona mama akaniambia haoni kitu.

Sasa ndugu zangu wa JF mnisaidie hiki ni kitu gan maana nikiwaambiwa watu wengine wananiona kama nina wasiwasi au nimechanganyikiwa.

Kivuli chenyewe ni dude kubwa hv halaf naona mkono wenye kucha ndefu ni cheusi.

Hii hali imenishangaza sana, mama ananiambiwa tunakuitia shehe akusomee.

Ila nimebaki na maswali, hiki kivuli kinataka nn kwangu kama kuna wadau wanafaham hali hii wanielezee.

Sitanii ndugu zangu nahitaji mawazo yenu
Mkuu usije ukawa ndio umeanza kuvuta bangi.. Maana bangi unapoanza kuivuta siku za mwanzo huwa inapelekesha vibaya.. Mwenzio niliwahi kupotea nyumban wakat naenda dukani kununua mchele wakat huo mchele uko ndani.

Nilivofika dukani nikapotea nyumban nikawa sipakumbuki nilizunguka mtaani siku nzima huku nawaulizia watu na wanaponijibu nikawa nahisi wanatoa sauti kubwaa nikawa naogopa..

Bangi mbaya sana siku za mwanzo
 

Makavengaaa

Member
Joined
Mar 6, 2019
Messages
36
Points
125

Makavengaaa

Member
Joined Mar 6, 2019
36 125
Ingelikuwa ni bangi nisingeandika thread au ningeitaja
Mkuu usije ukawa ndio umeanza kuvuta bangi.. Maana bangi unapoanza kuivuta siku za mwanzo huwa inapelekesha vibaya.. Mwenzio niliwahi kupotea nyumban wakat naenda dukani kununua mchele wakat huo mchele uko ndani.

Nilivofika dukani nikapotea nyumban nikawa sipakumbuki nilizunguka mtaani siku nzima huku nawaulizia watu na wanaponijibu nikawa nahisi wanatoa sauti kubwaa nikawa naogopa..

Bangi mbaya sana siku za mwanzo
 

Black BackUp

Senior Member
Joined
Aug 5, 2019
Messages
192
Points
225

Black BackUp

Senior Member
Joined Aug 5, 2019
192 225
Kama kuna kikevi chochote unatumia Acha mara moja...
maana nna jamaa namfaham alikua anaanza kujifunza kuvuta BANGI/MARIJUANI Yeye alikua akiona kivuli cha ZIMWI/INSYUKA/GODIZILLA ama kiumbe cha ajabu kikimfata mda wote kumbe kwenye familia yao walikatazwa kutumia vitu hivi vya kilevi.
Hivyo nakushuri mkuu kama unatumia/unaonja/unajaribu kutumia kilevi chochote kile nakushauri Acha mara moja
 

Forum statistics

Threads 1,343,414
Members 515,033
Posts 32,783,933
Top