Recent content by makalate

  1. M

    Wahamiaji haramu waliokaidi amri waswagwa kama ng'ombe huko kagera muda huu.

    syliva usilete zako kama una uhakika hao nao ni harama toa taarifa kunako usiwe mnafiki kwamba nao ni wahaiaji halafu hutoi taarifa kwa kikundi cha operesheni. Be careful unatutia mashaka
  2. M

    Wabunge wa Chadema mnachezea kodi ya WaTZ ambayo inatumika kulipia posho zenu

    Hakuna anayepigania maslahi ya mwingine hapo, wote wawe wa upinzani au CCM wanatufanyia viini macho tu ili waendelee kuganga njaa zao na familia zao tu. Nawaomba watanzania wenye akili zao wasipoteze muda kushabikia uhuni huu wa kisiasa bali watumie muda wao kufanya kazi zenye maslahi kwa...
  3. M

    Nani mhamiaji haramu Kagera? pitia waraka huu

    Wewe pia ni Mwenzao nyie ndio mnaopora mali za Wasukuma na kuwanufaisha hao wanyankore na wanyarwandwa mbulula wewe kati ya Msukuma aliyechomewa nyumba na kuporwa mifugo yake na hao wezi wanaokimbia kwao nani unauchungu naye wewe? nchi hii ni yetu hata kama mipaka iliyowekwa na wakoloni...
  4. M

    Katiba ya CCM inaipa NEC Mkoa uwezo wa kumfukuza mwanachama na kiongozi

    Big up Nape tatizo tulilo nalo ndani ya CCM ni kuchagua Viongozi wa ngazi nyeti kwa misingi ya uwezo wao wa kuhonga wapiga kura badala ya namna gani wana uelewa wa Katiba pamoja na kanuni za Chama sisi tusio na hela za kuhonga hatuna chetu na mawazo yetu hayasikilizwi niombe tu kwamba Chama...
  5. M

    Kwanini ikulu imekaa kimya juu ya matatizo ya biashara ya madawa ya kulevya nchini?

    Eistein Bahati nzuri sana swala la Madawa ya Kulevya si la kikatiba ni la kimaadili tu kama ilivyo Dini,Mapenzi ngono,itikadi za kisiasa, nk. kuna wanaopenda vyama vya siasa, kuna wanopenda dini fulani, kuna wanaopenda timu fulani kuna wanaopenda nguo fulani fulani ili watoke bomba, kuna...
  6. M

    If President Kikwete is Tanzanian, then most Rwandans being expelled are Tanzanians too

    Kumbuka hizo nchi unazozisema za Rwanda,Burundi na Kongo hazikuwahi kuwa kwenye Jumuiya ya Madola kasome tena Sheria ya Uraia ndo utaelew kuwa wahindi, Waganda,Wamalawi nk tuko nao powa kabisa rudi kwenye mada Mbulula weye
  7. M

    If President Kikwete is Tanzanian, then most Rwandans being expelled are Tanzanians too

    Habari ndio hiyo kwani CHADEMA Wachaga wanapochukia CCM Wachaga mbona husemi kuwa kabla ya Vyama vingi hakukuwa na CDM, CCM au CUF si wote walikuwa Wachaga wanaodharau Chasaka?leo iweje usahau kwamba warundi na wanyarwanda ni Chasaka zaidi kuliko Mpare na Msambaa mnao waita leo kwamba ni watu...
  8. M

    If President Kikwete is Tanzanian, then most Rwandans being expelled are Tanzanians too

    you are day dreaming comrade, why don't you officially invite other people to inhabit your country and invite those who you think originate from your country so that they can come back to Rwanda,Burundi or Congo? and live our country alone? you are disturbing the great lakes region and yet you...
  9. M

    Wapi penye maslahi kati ya kuwa bank teller au police.

    Mleta hoja ni mbulula tu kwani hujui kazi hupangwa tangu tumboni mwa mama yako? ridhika na ulicho nacho kisha mwombe mungu akujalie hekima na busara mbona kuna wapiga debe tu na mama ntilie waliokubali kazi zao na zimewatoa tu lakini kuna watu walikuwa maprofessori lakini hawajamake na...
  10. M

    Rushwa badala ya kanuni inaifarikisha ccm

    Baadhi ya Viongozi wa Kamati za siasa za Mikoa zenye dhamana ya kusimamia maamuzi hasa wakati wa uteuzi wa wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya Chama ama zile za Kiserikali kama Ubunge na Udiwani wamekumbatia rushwa kiasi kwamba wamekuwa Vipofu wa kuziona kanuni nzuri zilizopaswa...
  11. M

    Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

    :help:Huku kwetu ni kamba za kufungia Ng'ombe wakati wa kukamua Maziwa si watafiti husema kwamba ng'ombe hutoa maziwa mengi akifungwa kamba kisha akapigiwa Musiki ama mluzi ? hiyo ndo kazi ya shanga bwana pompompo watupu:A S kiss::tape:
  12. M

    Ripoti hii ilifichwa: Chanzo cha kuporomoka Elimu Tanzania!

    Bahati mbaya watanzania mnafanya kila kitu siasaMnapaswa mjue kuwa Elimu yetu haijashuka isipokuwa kilichoshuka ni kiwango cha Ufaulu ambacho kinasababishwa na wanaotakiwa kufaulu kutotaka kufaulu. Siasa zimewapotosha watu kiasi kwamba Wazazi, Jamii inayowazunguka wanafunzi na Wakati Mwingine...
  13. M

    Majibu ya JK kwa Kagame ni haya hapa

    Weye Kagame ulihehe wewe mkenyezi unathubutu kutukana Mamba kabla hujavuka Mto? shauri yako sisi tutakuowa. Chezea hao hao kina FDRL siyo TPDF tula kwicha ulasaze wewe mwana
  14. M

    Siri yafichuka: Picha ya Mwigulu Nchemba na mgombea udiwani wa CHADEMA Elerai

    :wave:USANII WENU CDM ni wa Kitoto yaani hiyo picha mmeifanyia usanii bila kutulia:bored: Nani kakuaambia CCM wanavaa MAGWANDA NA BUTI?:smile-big::smile-big: Aliyesanii picha hiyo angetulia badala ya kukurupuka kama kawaida yenu angedanganya angalau kidogo:A S-fire1: lakini bahati mbaya alikuta...
  15. M

    Barua ya Mch. Mtikila kwa rais Kikwete!!..Wazanzibari mpoooo???!!

    Ndo maana tunataka Muungano wa serikali 3 ili waone dhahiri Mbeleko tuliyowabebea ilivyokuwa na manufaa Makubwa kwao kuliko kwetu Tanganyika.Binafsi nawashangaa wanao sema Serikali Tatu ni Mzigo huku wanataka serikali 2 mie nawaona Mbulula tu. heri wangesema serikali 1 badala ya 2 ningewaelewa...
Back
Top Bottom