Recent content by makakara

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania NATAFUTA MWALIMU WA COMP. PROGRAMING ... JAVA

    labda hawana muda
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwalimu mzuri wa computer languages

    mkuu nimekutumia PM nna shida kama yako tuwasiliane
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwalimu mzuri wa computer languages

    nipo mkuu nahitaji sana kujifunza Java upo pande gani
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania NATAFUTA MWALIMU WA COMP. PROGRAMING ... JAVA

    kama nilivyoeleza hapo juu natafuta mwalimu wa kunifunza java programming niko interest kuisoma naipenda nataka kudevelop au Android apps... nafahamu HTML na basic knowledge ya C nipo DAR
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada unahitajika hapa wakuu

    haya nitaweka
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada unahitajika hapa wakuu

    duu huyu jamaa anataka kutuua kabisa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msaada unahitajika hapa wakuu

    mkuu ni mti gani huo mkuu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada unahitajika hapa wakuu

    Wandugu habari zenu, Wakuu naombeni yeyote ambaye anafahamu/ ama alisha wahikutumia dawa za kimasai za kukuza maumbile ya kiume jamani anisaidie na mimi nipate, nina tatizo la maumbile madogo nimeskia zipo zawa za miti shamba za kutibu hili tatizo langu, naombeni wakuu mnisaidie pia utakuwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii lazima CCM mtupige bao

    Kwa hali hii lazima ccm mtupige bao
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania wanatech heb nijuzeni kuhusu kupatana.com

    Naamini kila mtu hum ndani anaifahamu kupatana.com 1.swali lang ni hivi mmiliki wa hii site anafaidikaje? 2.je anategemea google adsense pekee yake, 3.na vip kuhusu app yake developer ni wa hapa bongo au ni osclass cos nimeicheki hii site inarun osclass cms na vp google ads inalipa kweli?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nina 1,500,000 msaada wa mawazo wana ndugu

    kaka nashukuru kwa kunifungua lakin hiyo tasisi sijaiskia huku mikoan ilas ntajitahidi kuitafuta kk
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nina 1,500,000 msaada wa mawazo wana ndugu

    nashukuru mkuu kwa ushauti bt ni mkoa gani mzuri kufanya hiyo kazi coz nipo moshi now
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa Tsh 1,500,000, nifanyaje ili kuizalisha?

    Mimi ni kijana nina umri wa miaka 22 nina kiasi hicho cha pesa mkononi naombeni kuuliza nifany biashara gani ili pesa yangu izalishe elimu yang ni diploma ya IT pia nina nina computer 2 zeny spesc kubwa pamoja na mashine moja ya kunyolea {wahl 300} mpya ujuzi mwingne graphics designer,web...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nina 1,500,000 msaada wa mawazo wana ndugu

    mimi ni kijan anina umri wa miaka 22 nina kiasi hicho cha pesa mkononi naombeni kuuliza nifany biashara gani ili pesa yangu izalishe elimu yang ni diploma ya IT pia nina nina computer 2 zeny spesc kubwa pamoja na mashine moja ya kunyolea {wahl 300} mpya ujuzi mwingne graphics designer,web...
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ushauri wenu unahitajika plz

    Asante bro kwa ushaur wako.umenitia moyo xaxa nashukur
Back
Top Bottom