mimi ni kijan anina umri wa miaka 22 nina kiasi hicho cha pesa mkononi naombeni kuuliza nifany biashara gani ili pesa yangu izalishe elimu yang ni diploma ya IT pia nina nina computer 2 zeny spesc kubwa pamoja na mashine moja ya kunyolea {wahl 300} mpya ujuzi mwingne graphics designer,web designer video producer.KAZI NILIYOKUWA NAFANYA KAMA IMEFIKIA MWISHO WAKUU SO CNA JINS TENA naombeni ushaur