Recent content by makaka

  1. M

    Kikwete awateua Prof. Sospeter Muhongo, Janet Mbene na James Mbatia kuwa wabunge

    J, Mbatia amepewa kupoza machungu ya kugaragazwa na mwanadada Halima Mdee, ila nijuzeni wakuu, kama atakuwa na uwezo wa kuibana serikali ilihali ni mbunge wa viti maalumu vya rais?? je ikiwa itatokea akaisea mbvu serikali hivi rais hawezi kutengua uteuzi wake?? mwenye kujua hili tafadhali...
  2. M

    Mbunge wa Sumbawanga Mjini (CCM) avuliwa ubunge na mahakama!

    hongera CHADEMA kwa kushinda kesi hiyo!!!
  3. M

    Aliyevaa kiatu cha Dr. Slaa Karatu yupo fiti

    Vipi kuhusu SHIBUDA na SELASINI??
  4. M

    Picha: Mwenyekiti wa CHADEMA alivyochinjwa... [Extreme Images]

    kwani hiyo cm yake haijapatikana?? mm nashauri kama imeoatikana ipekuliwe hili hiyo namba iliyompigia ifuatiliwe coz namba zimesajiliwa na wahusika wanafahamika , ni kiasi cha kuuliza kule tcra, na kwenye mtandao uliotumika. au wekeni mtandao aliokuwa anatumia ili sisi tunaofanya kazi huku...
  5. M

    Chadema Washukuru Wananchi kwa Ushindi Udiwani Kiwira

    Hivi SAMBWEE shitambala si alijidai kuwa ataibomoa CDM mbeya?? mbona kama ameshindwa kazi halafu amesahaulika kwenye u- DC, lo jamani ccm hamna huruma kwa mwenzenu??
  6. M

    Kanumba: Sipigi kura, 2015 nitagombea ubunge

    nimesikia alikuwa amezindua filamu moja hivi inaitwa KIJIJI CHA WAPIGANIA HAKI, hivi kijiji hicho ni CDM?? na je ndo maana na yeye akajiunga huko ili apiganie haki za wana SHY?? hakika naitafuta hiyo filamu nijielimishe kile jembe letu lilitaka tuelewe wa tz.
  7. M

    Kambi ya Lowassa kazini: Askofu Laizer aunga mkono Lema kuondolewa Arusha!

    MwanaHalisi waliandika kuwa kuna maaskofu wamehongwa 20,000 huko Arumeru je na yeye ni mmoja wao??
  8. M

    CHADEMA kupata ofisi mpya ya Makao Makuu-Mwenge

    Dah!!! yaani tangu CCM igaragazwe Arumeru east, leo ndo ritz na rejao ndo wanaonekana jamvini. Nadhani ndo wamemaliza ile dose (acetaminophen 1gm tds - 3days), coz yule mzinzi wa iramba mashariki alikuwa anawaambia M4C waandae pesa ya kununulia pindi wakipigwa ARMERU, ila sasa wao ndo wakainywa.
  9. M

    Picha nyingine zinajieleza

    sasa hapo kafanya nn??
Back
Top Bottom