Aliyevaa kiatu cha Dr. Slaa Karatu yupo fiti

Apr 26, 2012
15
9
Makamanda wa Chadema na Watanzania kwa Ujumla aliyevaa kiatu cha Dr. Slaa Katibu Mkuu wa Chadema, aliyegombea Urais 2010 amefanya mambo mengi sana katika Bunge la Tanzania. Huyu si mwingine bali ni Mhe. Mch. Israel Yohana Natse. People's Power.
 
cdm mps wote wapo poa! kila mmoja anatalent yake na ndo maana wapo mjengoni
 
Kwanza anastahili pongezi kwani alisimamia kampeni za kuwania kiti cha ubunge Arumeru vizuri sana. Mchungaji ni jembe nae na siyo muoga.
 
Mbunge wangu Highness Kiwia sioni michango yake mjengoni,asipoangalia ntamtoa 2015

Kuwa mjanja.
Haujajua kwamba naye anadownload utirio.
Ngoja aje na facts. Usiwe na haraka. Si ndo alipigwa mapanga? Au sie. Bado ana matibabu mkuu.
 
Baadhi ya wabunge chadema bado wako training ya kujenga hoja Bungeni,tusubiri Bunge la Bajeti wataibuka ila sio Shibuda,nafurahi tu Lissu atakuwepo,bajeti za kizushi hazipiti na werema anatakiwa kusoma sona vitabu vya sheria la sivyo aibu yake itakuwa kubwa sana this tyme
 
Makamanda wa Chadema na Watanzania kwa Ujumla aliyevaa kiatu cha Dr. Slaa Katibu Mkuu wa Chadema, aliyegombea Urais 2010 amefanya mambo mengi sana katika Bunge la Tanzania. Huyu si mwingine bali ni Mhe. Mch. Israel Yohana Natse. People's Power.

Tungependa Kuona Orodha ya hayo mengi ili kuweka takwimu na kumbukumbu sawia tafadhali.
 
Back
Top Bottom