Recent content by makahuto

  1. makahuto

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumepigwa changa la macho mchana kweupe suala la 'mzigo kung'ang'ania kichwani'

    Unaibiwa wewe , hilo diliiiiiii
  2. makahuto

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumepigwa changa la macho mchana kweupe suala la 'mzigo kung'ang'ania kichwani'

    Si autoboe mahindi yamwagike. UNAIBIWAAAAA
  3. makahuto

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumepigwa changa la macho mchana kweupe suala la 'mzigo kung'ang'ania kichwani'

    Kuna kawimbo kale ka WCB kanasemaje vile!!!!!!! UNAIBIWAAAAAA
  4. makahuto

    JamiiForums Tanzania Wanaume ifikie hatua muwe na moyo wa kibinadamu jamani

    Ukiona hivyo kuna sehemu unakosea. Fanya research, sisi wanaume mbona hatuna ujanja ukitupatia Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
  5. makahuto

    JamiiForums Tanzania Huyu mbunge kushoto kwa Zitto anaitwa nani? Mbona kama amevaa "rubber bracelet" akiwa ndani ya ukumbi?

    Yaani kwa uelewa wako umeona hilo tu! Kweli tunasafari ndefu sana kufikia tunakotaka.
  6. makahuto

    JamiiForums Tanzania Damas Ndumbaro: Chanzo cha Majimaji kufanya vibaya ni kukosa wachezaji wazalendo (kutoka Ruvuma)

    Ndumbaro ni mwanasheria, ila hapo kapotea kabisa. Si jambo zuri kuwaona wasio wazawa ni wasaliti. Iko siku atasema ni marufuku asiyemzawa wa Songea kuishi hapo. Mimi nahisi tayari ameshakunywa Maji taka ya siasa na anataka kuwanywesha wengine! NOOOOOO..!!
  7. makahuto

    JamiiForums Tanzania Tangu Soka lianze hadi leo hii, Kuna Mchezaji yeyote aliyefikia kiwango cha Maradona au Messi?

    RONALDINO GAUCHO......,Huyu je?
  8. makahuto

    JamiiForums Tanzania Nimefuma SMS hii kwenye simu ndogo ya mke wangu

    Ukiona manyoya.............!
  9. makahuto

    JamiiForums Tanzania Kumbe Asante Kwasi alikuwa anacheza na Tshishimbi pamoja

    Unauliza?Unajibu!!!??
  10. makahuto

    JamiiForums Tanzania TFF yaiomba Simba ufafanuzi juu ya kauli ya Haji Manara dhidi ya waamuzi.

    Jamani huyu afisa habari hafai. Tafuteni mbunifu katika tasnia hii ya soka ili tulipaishe soka letu.tumechoka na mipasho!!! Kila kukicha hakuna lolote la maana.
  11. makahuto

    JamiiForums Tanzania Exclusive: Zilizonifikia hivi punde tu kutoka Kambini Yanga SC

    Kwani viroba vimeruhusiwa!!!??????
  12. makahuto

    JamiiForums Tanzania Siri imefichuka Wachezaji wa Yanga Nahodha Cannavaro na Kessy wapigana wakigombea posho

    Yaani kujikakamua kooote na vijineno kibao, kumbe eti Yanga msiwe na kiherehere na kuwashwawashwa...!!!!! Ushachomwa sindano tulia dawa iingieeeee..
  13. makahuto

    JamiiForums Tanzania Yanga yadaiwa kuipokea Njombe Mji; wailipia hoteli ili kuihujumu Simba

    Akili za mbayuwayu changanya na zako halafu...............
  14. makahuto

    JamiiForums Tanzania Musukuma: RPC Mponjoli kashindwa kuniomba radhi, sasa nitaweka hadharani 'madudu' yote anayoyafanya

    Binafsi sijamuelewa Musukuma anacholalamika. Apambane na kesi yake
Back
Top Bottom