TFF yaiomba Simba ufafanuzi juu ya kauli ya Haji Manara dhidi ya waamuzi.

Huna point,

Nakurudisha darasani jipange vizuri next time

Manara yupo kazini, anaongea kwa niaba ya klabu, na uongozi unafahamu na kubariki taarifa zake. Siyo kama kima wewe unabwabwaja tu humu.

# Elewa pia jitahidi Kutibu stress kwanza

' Mazeri ' wako ameshaondoka hapo Kwenu? Mwambie anapokuja Kwangu huku ' Maghetoni ' tafadhali asisahau kuleta na ile ' Wine ' yangu ambayo huwa naipenda mno ili niweze kupata ' Stimu ' zaidi ya Kibaiolojia.
 
Umeandika maelezo mapana sana ila point zako ni dhaifu mno,haujawai kuwaona mameneja wanawakosoa marefa?Tatizo ni kukariri tu unataka ata ktk upuuz pasifiwe tu ndo apo watakapojitokeza wapumbavu wengine waseme refa nae ni binadamu ana mapungufu,Izi ni dalili za kushindwa kufanya mambo kwa weledi.

IQ yangu nikijibizana na Wewe nitakuwa naikosea sana / mno adabu.
 
' Mazeri ' wako ameshaondoka hapo Kwenu? Mwambie anapokuja Kwangu huku ' Maghetoni ' tafadhali asisahau kuleta na ile ' Wine ' yangu ambayo huwa naipenda mno ili niweze kupata ' Stimu ' zaidi ya Kibaiolojia.
Ha ha ha ha ha ha sasa wewe ndiyo wa kumpinga Manara huku povu linakutoka? Ha ha ha ha!! Pamoja sana mkuu
 
Maisha yangu siku zote ' Mazeri ' wako anayaweka sawa na ndiyo maana ' Mshua ' wako akiacha Hela ya matumizi Wewe na Yeye mnalishwa ' Miharage ' na ' Midagaa ' huku Mimi anakuja na ' take away ' yangu ya Mikuku, Michips, Mayai na Soda juu.
Usitumie hivyo vyakula, si vizuri kwa afya ya Mwanaume rijali, kula Dona, maharage na dagaa, mboga za majani na matunda kwa wingi kama mimi
 
Ha ha ha ha ha ha sasa wewe ndiyo wa kumpinga Manara huku povu linakutoka? Ha ha ha ha!! Pamoja sana mkuu

Ukija Kwangu Kihuni basi na Mimi nakuonyesha jinsi nilivyo Muhuni, ukija Kwangu Kibusara na Kiungwana basi na Mimi nitakuonyesha jinsi nilivyo mwenye busara na muungwana kabisa ukija Kisela basi ndiyo nitakuonyesha kuwa Mimi ndiyo Msela wa Kutukuka na mwisho Principle yangu ni ile ile haijabadilika kwamba Wewe ukijamba tu Mimi naharisha kabisa.
 
Usitumie hivyo vyakula, si vizuri kwa afya ya Mwanaume rijali, kula Dona kama mimi

Yeye ndiyo hupenda Mimi nivitumie ili niweze kumpiga ' Paipu ' la ' Kibaiolojia ' vizuri hivyo kamlalamikie Yeye na siyo Mimi.
 
Ukija Kwangu Kihuni basi na Mimi nakuonyesha jinsi nilivyo Muhuni, ukija Kwangu Kibusara na Kiungwana basi na Mimi nitakuonyesha jinsi nilivyo mwenye busara na muungwana kabisa ukija Kisela basi ndiyo nitakuonyesha kuwa Mimi ndiyo Msela wa Kutukuka na mwisho Principle yangu ni ile ile haijabadilika kwamba Wewe ukijamba tu Mimi naharisha kabisa.
Kila sehemu wewe mjuaji, si kweli haiwezekani !Na usemaji wa simba klabu wewe pia zaidi ya Manara, Narudia si kweli. Ukweli ni huu Wewe si mhuni , wala si msela, tibu tu kwanza STRESS za maisha yako, utapona !! Stress zinatibika brother !!
 
Sijiiti ila najulikana hivyo. Narudia tena kusema kwa IQ yangu nikijibizana na Wewe nitakuwa naikosea na siitendei haki.
IQ yako ilitakiwa ikusaidie ktk nyanja 4 za maisha ya binadam lakin nasikitika kuona IQ yako inakusaidia ktk nyanja 1 tu.Pole ndugu ¾ ya IQ yako ujui ilipo ao wanaokuita ww msom ni wafu acha wakuzike mfu mwenzao.
 
Jamani huyu afisa habari hafai. Tafuteni mbunifu katika tasnia hii ya soka ili tulipaishe soka letu.tumechoka na mipasho!!! Kila kukicha hakuna lolote la maana.
 
48afe996dc37a6ac3f5f2652df61a01f.jpg
 
Inawezekana Msemaji wa Simba, Haji Manara akaingia matatizoni na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ambalo limetaka ufafanuzi kutokana na kauli zake dhidi ya waamuzi waliochezesha mechi ya Yanga dhidi ya Simba.

Taarifa zinaeleza, tayari TFF wamesukuma barua kwenda Simba wakitaka ufafanuzi.

“Kuna barua imepelekwa kutaka kupata ufafanuzi kwa kuwa zinaonekana ni kauli za kichochezi,” kililieza chanzo.

Lakini mmoja wa maofisa wa Simba ameiambia SALEHJEMBE: “Hatujapokea barua yoyote, acha tuendelee kusubiri tutaona itakavyokuwa.”

Manara anatuhumiwa kuwashambulia waamuzi waliochezesha mechi hiyo iliyoisha kwa sare ya bao 1-1 na Yanga kuonyesha soka safi zaidi ya Simba hasa katika ushambulizi.

Lakini Manara alilalamika Simba kunyimwa penalti likiwemo lile tukio la Kelvin Yondani kuunawa mpira wakati akijaribu kuondosha hatari langoni mwake.
Huyu jamaa alishafungiwa na TFF lakini TFF hiyo hiyo ikamrejesha kwenye nafasi yake, let them bear the consequences!

Nasaini auti niwaache wafu wazike wafu wao.
 
Mimi ni mwana Simba ila huyu msemaji wetu boya tu, bora afungiwe tu maana analeta zile zama zake na kina jerry muro, mambo ya kizamani sana
 
Kila sehemu wewe mjuaji, si kweli haiwezekani !Na usemaji wa simba klabu wewe pia zaidi ya Manara, Narudia si kweli. Ukweli ni huu Wewe si mhuni , wala si msela, tibu tu kwanza STRESS za maisha yako, utapona !! Stress zinatibika brother !!

Tafuta wa ' Kukubutua ' huko ' Unyabeni ' Kwako tafadhali achana na Mimi kwani hutoniweza na utaishia tu kupoteza muda wako bure!
 
IQ yako ilitakiwa ikusaidie ktk nyanja 4 za maisha ya binadam lakin nasikitika kuona IQ yako inakusaidia ktk nyanja 1 tu.Pole ndugu ¾ ya IQ yako ujui ilipo ao wanaokuita ww msom ni wafu acha wakuzike mfu mwenzao.

Mtu mmoja tu katika ' Ukoo ' wako angebahatika angalau tu kuwa na robo ya IQ ya GENTAMYCINE mngejivunia sana na mngepiga hatua ya Kimaendeleo.
 
Tafuta wa ' Kukubutua ' huko ' Unyabeni ' Kwako tafadhali achana na Mimi kwani hutoniweza na utaishia tu kupoteza muda wako bure!
Acha ubwege wewe tulia tukupe elimu ya mambo acha ujuaji Mbuzi jike wewe !!
 
Back
Top Bottom