Recent content by makaghari

  1. M

    Nimegundua mke wangu ananisaliti. Niko njia panda

    Muache aende ndugu. Amani yako Ni muhimu kuliko chochote. Anaweza kukuona unakuwa kero kwake wakapanga kukudhuru. Ndoa iliumbwa kwa ajili ya faraja, Kama imegeuka mwiba jiokoe mapema.
  2. M

    Wafanyakazi wa NHIF Tanga ni wajeuri na wanajisikia mno

    Nilipeleka maombi hapo November 2023, feedback nikaja kupewa mwezi June mwaka huu..!
  3. M

    Siyo Mbowe na Lissu tu, Kuna Jina lingine kubwa linatangaza kugombea Uenyekiti wa CHADEMA muda mfupi ujao

    Nadhan ipo haja ya CDM kufanya kile walichofanya CCM 2015. Walete mtu ambae wanaona upepo wake hautaendeleza "minyukano" baina Yao. Ila mwenye ushawishi na mwenye kukubalika katika Chama Chao. Na huyo mtu ashindane na Yule mgombea wa kwanza ambaye hazungumzwi Kama wanavyozungumzwa TAL & FAM
  4. M

    Ndoa yangu ina hali tete

    " mke Wang hata Mimi najiuliza ilikuaje nikakuoa ukiwa bado mdogo. Naona Ni muda sahihi urudi nyumbani wakakuozeshe kwa mtu anaekuzidi miaka miwili ili usiendelee kuteseka hapa kwangu na mzee Kama Mimi"...Kaka unakwama wapi..?? Mahari hutafutwa na hata Mke pia hutafutwa, mwache aendee kuliko aje...
  5. M

    TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

    Kuna watu huwa wanafurahisha Sana. Yaani chuo Kama Open University iweze kufanyisha mitihani online halafu serikali ishindwe..[emoji3]
  6. M

    Maisha yangu yapo katika ulimwengu wa upweke,sonona na maumivu

    Tiba ya mwanaume Ni mwanamke na tiba ya mwanamke iko kwa mwanaume. Matatizo na Changamoto nyingi za kisaikolojia ukaribu wa kijinsia husaidia kuzivuka.
  7. M

    Maisha yangu yapo katika ulimwengu wa upweke,sonona na maumivu

    Yaani inafikia muda unakunywa Sana pombe lakin hulewi hata crate nilikuwa namaliza na hakuna kitu naskia. Ila katika hiyo mihangaiko ya kutafuta kuwa Sawa alitokea Dada mmoja aliepitia makorokoro kibao kwenye utafutaji. So anaelewa maisha, akawa msaada mkubwa Sana kwangu na ndani ya miez 3...
  8. M

    Maisha yangu yapo katika ulimwengu wa upweke,sonona na maumivu

    Hiyo Changamoto hutupata wengi katika maisha yetu ya kila siku. Changamoto zisipohusisha maradhi katika familia au kuyumba kiuchumi kwa kiasi flani inasaidia na inakuwa rahisi mtu kupata msaada na kuwa sawa. I was once in the same situation, Kuna namna pia Mahusiano stable yanasaidia kwa sisi...
  9. M

    Maisha yangu yapo katika ulimwengu wa upweke,sonona na maumivu

    You nailed it. Umemaliza kila kitu. Umetoa Mbinu za muda mfupi (na za haraka) pamoja na za muda mrefu.
  10. M

    Maisha yangu yapo katika ulimwengu wa upweke,sonona na maumivu

    Umempa ushauri mzuri Ila tafadhali mchukulie huyu Kama Ni MTU mwenye Njaa hutaji lake kwa Sasa no chakula then atafundishwa mahali na jinsi ya kutengeneza chakula chake mwenyewe..! Huyu anahitaji aongozwe kufanya ABC kwa Sasa Kama huduma ya kwanza wakati akishauriwa kupata msaada zaidi Kama...
  11. M

    Jinamizi la kuchelewa kuzaa na kuolewa linavyotesa wanawake

    Boss kwani wanatakiwa wazae au kuolewa wakiwa na miaka mingapi kwa mtazamo wako..?
  12. M

    Ngorongoro ilishachukuliwa kitambo...

    Uhifadhi sio tatizo. Swali ni je, watu wanahamishwa na kupigwa ili eneo apewe muwekezaji..????
  13. M

    Msaada wa haraka kuhusu WhatsApp yangu kudaiwa kutuma sms ambazo sijatuma mimi

    Nilikuwa natumia moja tuu mkuu ambayo Ni GB WhatsApp. Lakini kinachoniumiza kichwa Ni huo ujumbe uliotumwa kwa watu.
Back
Top Bottom