Recent content by makadi

  1. M

    Pwani: Askari Wawili wa Usalama Barabarani wauawa kwa kupigwa risasi Kibiti

    Mhmmmm naogopa Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
  2. M

    Tundu Lissu: Tusishabikie maamuzi ya kijinga kwasababu tu yamefanywa na Rais

    Hakuna jumbo maskini kama jumbo la lisu.kabaki kupinga maendeleo ya wenzake kwake kunadorora.siasa zake za chuki binafsi wenzake mbele kwa mbele Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
  3. M

    RC wa Kilimanjaro, Meck Sadiki na Majaji wawili Wajiuzulu. Rais Magufuli aridhia...

    Ni vizuri walio fikia umri wa kustaafu waanze mapema kuliko kusubiri wapo vijana wenye fani hizo nao wapate ajira mapema.hapo sasa kuna nafasi 3 za ajira anaejiona amejaladia umri jitoe mapema usikutwe huko Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
  4. M

    Upinzani ungechukua nchi hata mara moja tu, taifa hili lingekuwa mbali sana.

    Tungeuza bagi na madawa hadhara maana tungekuwa huru mno hata amani ingetoweka vichaa tungepewa rungu
  5. M

    Gwajima amcharukia Diamond

    Du shetani kacharuka mm c muumini wa gwajima mm naamini mungu aliye umba mbingu na nchi na siwezi kufuata ya binadam niache ya mungu anayefuata ya binadam ni shetani Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
  6. M

    Gwajima amcharukia Diamond

    Inawezekana askofu gwajima ni shetani waumini wake hawajui haeleweki yeye ni nani? Kwenye imani hayupo wala kwenye siasa lakini kwenye umbea mpaka povu hebu njuzeni nimfaham Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
  7. M

    Pale unapompeleka mwanao akasomee na yeye anaenda ku..

    Wapigwe ndoa ya mkeka ili waendelee na masomo wakiwa mkee na mme
  8. M

    Kikosi cha Mabushi stars cha enzi zile

    Duu mmenikumbusha mbali sana
  9. M

    Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Prof. Palamagamba aula, Mwakyembe achukua nafasi ya Nape Nnauye

    Ushabiki wa makonda na gwajima wampeleka nape nyumbani wapiga debe Nazi imeanguka
  10. M

    Huu ulinzi wa Gwajima vipi?

    Kulikuwa na mtikila na kakobe nk nao walikuwa na matambo kama gwajima Leo hakuna hata wa kumkumbuka mungu hataniwi kwa mfano wa gwajima amepandishwa na iko cku atashuka na hayo matambo yataishaga
  11. M

    CCM msipomdhibiti Magufuli mtavuna mabua

    Him jf MNA umbea umbea na upotoshaji
  12. M

    Hii kwa watanzania shupavu,majasiri na wenye uchungu na hii nchi na wenye maamuzi magumu

    Huyu k jinga ni miongoni mwa teja wanao tafutwa na makonda ukimsapoti k jinga nawe unakuwa jinga
  13. M

    Yaliyojiri Mkutano wa Waziri Nape Nnauye na Waandishi wa Habari: Kamati haijamaliza kazi

    Mhhh kama hujui umbea na uongo basi siasa huiwezi ona migongano hiyo
  14. M

    Elibariki Kingu: Kwa hili la RC wa Dar, naomba niwe wa kwanza kufukuzwa CCM

    Usingoje kufukuzwa jitoe mwenyewe mbunge wa ccm utakuwa mfano na wengine watakufuuata.utaweza sasa chakula cha watoto utupie mbwa?
  15. M

    Askofu Gwajima aitwa Ustawi wa Jamii kuhojiwa

    Duuuu ustawi wajamii kwa gwajima utageuka kuwa mapokeo na ibada kwenye kanisa lake hapendagi ukweli oskofu
Back
Top Bottom