Mpaka sasa Jeshi la Wananchi limegawanyika. Kuna waliopo upande wa Wananchi ambao ni wengi na wapo wachache mno waliopo upande wa Serikali(Sa100)
Sasa ukimkamata Captai Tesha au ukimuua, utazidi kuligwa Jeshi Yani itakuwa unazima moto Kwa kutumia Petrol.
Jamaa ataachwa na atadunda tu mjini. Na...
Kwa Mujibu wa habari ndani ya biblia zinasena Daudi alikuwa Mfalme wa Israeli ya kale. Sasa tujiulize kabla ya kuwa Mfalme wa Israel ya Kale, Je, eneo hilo lilikuwa linaitwaje?
Kabla ya Mwaka 1948, hakukuwahi kuwa na Taifa llililoitwa Israel. Sasa unapoandika Daudi(Israel) kisha unaandika Zakaria(Israel) sijui unamaanisha nini. Kama ni Daudi basi andika alikuwa Mfalme wa Israel ya Kale kwakuwa alikuwa akiwaongoza wana wa Israel na Yuda. Je, eneo hilo kabla ya kuea...
South Africa Mpaka leo kuna slums nyingi tu huko soweto na umaskini upo kwa watu wao weusi, lakini hsijawazuia kufanya maendeleo Mengine mengi tu, likiwemo hili la kuwa na Sattelite 13.
Nchi nyingi za Kiafrika zina Maslums na umasikini kama Uganda na Zimbabwe lakini Maendeleo mengine wamefanya...
NCHI ZA KIAFRIKA ZINAZOONGOZA KWA KUWA NA SATTELITE NYINGI NDANI YA AFRICA.
Hizi Rank zilitolewa na SpaceHubs Africa mnamo tarehe 19/08/2024. Spacehubs Africa walitoa list hiyo siku hiyo ukizingatia siku tatu nyuma yani tarehe 16/08/2024 ndio ilikuwa siku ambayo nchi ya SENEGAL ndio ilikuwa nchi...
Swala la ukabila Kenya nitawatetea kidogo, ni lazima litakuwa lina uzito kwasababu kule Makabila Makubwa Makuu ni Mawili tu ambayo ni Wakikuyu na Wajaluo. Asilimia chache mno iliyobaki ndio makabila Mengine ambao wako wachache sana.
Sasa hao Mafahari wawili wa Kikabila Kenya ni ngumu sana...
Sasa hapa tupo pamoja kwamba umekubali kuwa Kenya ni wa kwanza kurusha sattelite yao kama sisi Tz tulivyokuwa wa kwanza kuwa na SGR na Kenya bado hawana.
Ninashukuru kwa kulitambua hilo na ndio maana hata hizi Google Map ambazo tuna request bolt pia zinatumia sattelite za Marekani duniani...
Ndugu yangu unapotosha sana, yani bado hutaki kukubali kwamba kenya wamepambana hadi kuwa na sattelite zake binafsi.
Haijalishi pale Kenya kuwa na Base ya Uingereza, Marekani au la ndio iwe kigezo cha kutengenezewa Sattelaite.
Mfano Marekani inaweza ikawa na Base Kenya lakini wakaendelea...
Wewe jamaa kabla haujaleta Uzi hapa JF, cha kwanza fanya tafiti ujiridhishe kama Kenya walirusha Sattelite au la.
Acha nikujuze kwa uchache vingine utatafuta mwenyewe mtandaoni A.K.A google.
Kenya walirusha Sattelite ya kwanza mwaka 1970 waliyoipa jina la Uhuru.
Pia kenya walirusha Sattelite...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.