Recent content by Makacha Fikirini

  1. Makacha Fikirini

    Wadada mjue kuwa wanaume hatuna expire date.! kisa cha ukweli.

    daaah!huu ni ukatili wanaotufanyie hawa viumbe kwa sisi wanaume makapuku
  2. Makacha Fikirini

    Nashindwa kumuelewa

    Binafsi njia sahihi ya ww kufahamu sio kumpgia cm,bali ni kufunga safar haadi kwake then jarbu kuongea nae kwa undani ni nin tatzo lake. Naamin atakueleza km ni sabbu za kimapenz atakwambia na km ni zake binafsi atakwambia
  3. Makacha Fikirini

    Mabinti wawili wanataka niwaoe. Kulingana na sifa hizi nimchague yupi?

    duuuh!heri ukosee njia utaelekezwa kuliko kukosea kuoa.
  4. Makacha Fikirini

    Mbinu mpya wanayoitumia wadada kusaka ndoa kwa nguvu

    mmmh!mwanaume anae mpenda mwanamke wake haogopi vitu km hvyo ktk uwanja wake wa nyumbani,sasa we unataka ucheze mechi zote kwako nenda viwanja vya ugenini
  5. Makacha Fikirini

    Huwezi kupata kila unachotaka....

    uchambuz wako haujakiz vigezo
  6. Makacha Fikirini

    Nikikumbuka naumia sana

    mwenyezimungu amesha sema hawa viumbe, hawa ni wake zetu, hawa kaeni nao mbali, hawa si waminifu kabisha, hawa watatufanya tuishi maisha ya kiutofauti kabisa. pole sana mku,ila km bado unampenda na kumuhitaji bado unayo nafasi ya kuli new tena lain yako
  7. Makacha Fikirini

    Bado napata wakati mgumu juu ya huyu mfanyakazi mwenzangu

    hivi kukaa nae na kumwambia juu ya tabia yake imeshindika?au kwa nn usifuatilie ukamjua mume wake au bwana wake na kumpa matatzo ya mkeo huko kazin? nafikir kaa na mumeo umwambie ukwel juu ya tatzo la mkeo then mpe tahadhali juu ya kile anachokitafuta mkeo kwako.
  8. Makacha Fikirini

    Ondoa uhaba wa maji nyumbani kwako kwa kuchimba kisima.

    ww unatakiwa uniambie upo sehem gan?hapo ndipo nitakapokwambia maeneo hayo ni miter gan? Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
  9. Makacha Fikirini

    Ondoa uhaba wa maji nyumbani kwako kwa kuchimba kisima.

    mkuu maji yapo kila sehemu.Ila kila sehemu hutofautiana upatikanajiwake wa miter kwenda chini.Vile vile kisima kina aina tatu za bei,hii ni kutokana na umbal wa maji ulipo
  10. Makacha Fikirini

    Ondoa uhaba wa maji nyumbani kwako kwa kuchimba kisima.

    Habar za wakati, Je,nyumbani kwako kuna uhaba wa maji?kama ndyo karibu sasa nikutatulie tatizo lako kwa kukuchimbia kisima cha maji safi na salama kwa gharama nafuu kabisa.Tuna zo machine za kisasa kabisa zenye uwezo wa kuchimba kisima katika mazingira yeyote yale. Kwa mawasiliano nicheki...
Back
Top Bottom