Way usimwoe while your single same as her,
Anajarabu kukuonesha uhutaji wake .
Mwanamke kama huyo yupo tayari kwa ndoa.
Angaza baadhi ya tabia na mienendo yako ukijiridhisha ipo vyema mwoe.
Bro kwani ni lazima kuandika kuzungu?[emoji3][emoji3]
Way usimwoe while your single same as her,
Anajarabu kukuonesha uhutaji wake .
Mwanamke kama huyo yupo tayari kwa ndoa.
Angaza baadhi ya tabia na mienendo yako ukijiridhisha ipo vyema mwoe.
Shida ndio inaanzia hapo sasa. Maana huyo alienae anaonekana ndio msimamizi wa jimbo. Sasa sijui anampa mamlaka yote kiasi hicho ya nini wakati anajua kila siku ananunua madiwani.Ts obvious jamaa ni mpigaji si umeona hapo anasema ameshindwa kuleta totoz
Hapana mkuu......sema changes are inevitableUlilazimishwa kuwa na mahusiano na huyo binti????!!!!
Hapana....ila wanafananaNdo huyo kwenye picha?
Mbona mzuri, si umuoe huyo tu.Wakuu salaam,
Ni takribani wiki saba sasa tangu niingie kwenye uhusiano na uyu binti wa kisukuma,
Kinachonishangaza kwake ni tabia yake ya kujisahaulisha at least kitu kimoja kila akija gheto.
Mchezo wake ulianza ivi.....
Siku ya kwanza alikuja na chupi 2, moja
akaifua kisha akaiacha bafuni, nyingine akaivaa asubuhi, akasepa...
Siku ya 2 alikuja usiku akiwa amevaa khanga,.,asubuhi akaifua na kuianika nyuma ya mlango kisha akapita ivi.
Siku ya 3 akajisaulisha pete na hereni juu ya meza yangu, nilipokuwa namsindikiza njiani akaniambia
'Baby utanitunzi nimesahau hereni
zangu mezani'
Siku ya 4 akaja na nguo 2 na vipedo vya
kubadilisha na viatu pea 2, akavua high heels na kuziweka kwenye Shoe rack,asubuhi akaondoka na
flat shoes kwenda kwao.
Baada ya mwezi gheto zima limeajaa vitu vyake na ukizingatia chumba chenyewe kidogo nashindwa ata kuleta totozi nyingine maana zitaona vitu vya kike kwangu na iwe msala.
Sa ivi naona anajiandaa kuja na begi kabisa kwangu kisha baada ya mda aniambie 'Honey I miss my days' Zamani nilijua ni Simu za mkononi tu ndo zina Missed
Calls, Siku hizi kuna Missed days,.......kitakachofuatia apo mi mwenyewe sijui
View attachment 944127
Ndo utulie na mmoja mwenye mipango endelevuVyuma vimekaza mkuu ..utapata wapi hela ya lodge kila siku???
Mkuu sio kwamba watu hawataki kutulia na mmoja.Ndo utulie na mmoja mwenye mipango endelevu
Rafiki tumia hii mbinu kumnasa RRONDO![emoji4][emoji4][emoji4]Kwani lazima uwe na mwanamke?
Wee mwnywe ndo unamlea mtoto wa kiume kuwa na msimamo kama humtaki.Wakuu salaam,
Ni takribani wiki saba sasa tangu niingie kwenye uhusiano na uyu binti wa kisukuma,
Kinachonishangaza kwake ni tabia yake ya kujisahaulisha at least kitu kimoja kila akija gheto.
Mchezo wake ulianza ivi.....
Siku ya kwanza alikuja na chupi 2, moja
akaifua kisha akaiacha bafuni, nyingine akaivaa asubuhi, akasepa...
Siku ya 2 alikuja usiku akiwa amevaa khanga,.,asubuhi akaifua na kuianika nyuma ya mlango kisha akapita ivi.
Siku ya 3 akajisaulisha pete na hereni juu ya meza yangu, nilipokuwa namsindikiza njiani akaniambia
'Baby utanitunzi nimesahau hereni
zangu mezani'
Siku ya 4 akaja na nguo 2 na vipedo vya
kubadilisha na viatu pea 2, akavua high heels na kuziweka kwenye Shoe rack,asubuhi akaondoka na
flat shoes kwenda kwao.
Baada ya mwezi gheto zima limeajaa vitu vyake na ukizingatia chumba chenyewe kidogo nashindwa ata kuleta totozi nyingine maana zitaona vitu vya kike kwangu na iwe msala.
Sa ivi naona anajiandaa kuja na begi kabisa kwangu kisha baada ya mda aniambie 'Honey I miss my days' Zamani nilijua ni Simu za mkononi tu ndo zina Missed
Calls, Siku hizi kuna Missed days,.......kitakachofuatia apo mi mwenyewe sijui
View attachment 944127
Hiyo siyo mbinu mpya ipo siku nyingi inaitwa begi mwiliWakuu salaam,

Acha utoto.Hapana mkuu......sema changes are inevitable
Kuja gheto lazima mkuu, maana sina hela ya lodgeKwahiyo unamshitaki kwetu sisi tufanyaje?
Kama kweli unaona kama ni kero mpaka ulalamike....Kwanini hukumwacha au usingemzuia kuja geto kwako???
Jibu kinagaubaga sheikh...
Ahaaaaa........ point takenWee mwnywe ndo unamlea mtoto wa kiume kuwa na msimamo kama humtaki.
Akija mwambie abebe vitu vyake asepe na asirudie tena ujinga wake