Recent content by Makaanji

  1. Makaanji

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua gharama za kuweka tiles kwa chumba kimoja

    hyo ni foot 10
  2. Makaanji

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuzuia mbao za paa kubunguliwa

    Mbao ni Mlingoti tu hakuna mdudu anagusa labda mchwa tu wadudu wa kizembe hawez chezea
  3. Makaanji

    JamiiForums Tanzania Unatumiaje laki tatu kwa mwezi?

    Laki tatu unatoboa vizuri tu na akina unaweka.....fanya hv nunua mchele kilo 15 @2200 =33000...ings kilo 10 @1300=13000 sukari kilo 1 = 2800 lipa umeme 10000 maji 5000 mafuta lita tano sh 23000 vyote hvyo jumla 86800.....inabaki sh 213200....mpe mkeo laki moja awe anapangilia mboga....inabak...
  4. Makaanji

    JamiiForums Tanzania Roho inaniuma sana, mabati niliyoezekea nyumba yangu yamepauka sana

    Hii ni Alaf original.....ina alama sahihi za bati la Alaf
  5. Makaanji

    JamiiForums Tanzania Roho inaniuma sana, mabati niliyoezekea nyumba yangu yamepauka sana

    Mimi nilienda kiwandani pale ALAF....nilipo fika wakanishauri kuwa kiwandani tunapokea oda then ndio wanatengenea kwa mteja....pia mpaka kuja kupata zitachelewa pia bei ya kiwandani pale ALAF ni kubwa kuliko kwa mawakala wao....wakaniambia ukitaka kusubir subir lipia oda lakini kama unataka...
  6. Makaanji

    JamiiForums Tanzania Roho inaniuma sana, mabati niliyoezekea nyumba yangu yamepauka sana

    Kama rangi za kiboko ni nzuri kwanini bati zao zinapauka haraka sana
  7. Makaanji

    JamiiForums Tanzania Roho inaniuma sana, mabati niliyoezekea nyumba yangu yamepauka sana

    Hii ndio bati ya ALAF original....alama zake katikati ya mgongo moja na mwingne kuna njia tatu namaaisha migongo midogo mitatu.....hakuna kampuni yeyote ipo hvyo...kingine muhuri wa moto nyuma ya bati kingine muhuri wa kugonga ambao umeandikwa ALAF
  8. Makaanji

    JamiiForums Tanzania Biashara ya spare za mashine za photocopy

    Good
  9. Makaanji

    JamiiForums Tanzania Mwenye elimu zaidi kuhusu UTT AMIS

    Habari!!wana jamvi....naomba kupewa elimu zaidi kuhusu Utt amis.....na taratibu zake jinsi ya kujiunga na kufanya uwekezaji wake.....na benefit yake pia
  10. Makaanji

    JamiiForums Tanzania Msaada wa program ya MyOB

    Msaada wanajukwaa mwenye program ya account ya MyOB naomba anisaidie.....kama ipo kwenye torrent yeyote naomba hata link....but iwe vizur
  11. Makaanji

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua kiwanja, ila kwanini viwanja vya Chanika ni bei rahisi hivyo?

    hzo zinaitwa JENGA UZA...Hazina ubora ....mtu anajenga fasta tu .....cement hawek kwa viwango...so baada muda mchache zinakuwa mbovu
  12. Makaanji

    JamiiForums Tanzania Malalamiko kwa NIT (National institute of Transport)

    walitakiwa kutuma message...nini maana ya kuweka namba za simu...
  13. Makaanji

    JamiiForums Tanzania Malalamiko kwa NIT (National institute of Transport)

    Wametoa majina ya usaili bila kuwatumia message au kuwapigia simu wasailiwa...na kutoa kwenye mtandao wao tu .....wanadhani wote wanapata access ya internet wakati wote ili kuingia kwenye mtandao wao......Bila shaka watu wengi wamekosa kufanya usaili huu ...pamoja na mimi...au tayari...
  14. Makaanji

    JamiiForums Tanzania NIT wanashort list lini matokeo ya usaili

    Wadau naomba kuuliza kwa yeyote anayemfahamu lini watashort list.... Au tayar wameshort list
Back
Top Bottom