Hauna nidhamu ya biashara wewe, kuna siku nimekwambia nipo mlimani city nakuja hapo kwa remy ukasema poa. Nimefunga safari kufika kwa remy haupatikani kwenye simu, uliizima kabisa hata sikukuelewa ni kwanini ulifanya hivyo na ndipo nikaanza kuhisi yawezekana wewe ukawa ni tapeli ambaye hauna uzoefu
Wadau habari.
Kwa mtu yeyote yule anaifahamu vizuri biashara ya nywele zinazotoka nchini China naomba anifahamishe, sina uelewa kabisa na hii biashara. Ningependa niifahamu vizuri nione kama inafaa au la.
Nimepata supplier mmoja kutoka China, amesema wao wanauza kwa kilo. Ambapo nusu kilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.