Mpuuzi Mtu wa Pwani.
Umefikiria ukimsema Jussa hapa tutaanza kuichukia zanzibar.
Issue ni kua sheria inasema lazima awe mtanzania; ndio wawakilishi wote CCM, CUF wamesema ibadilishwe iwe mzanzibari.
Ukumbuke kwamba kuna zanzibar na wazanzibari (HAKUNA TAIFA LINALOITWA TANZANIA; ILIYOKUWEPO NI...
Mmhh hayo mengine sijui ila kununua nyumba Dubai kwa shilingi milioni mia tatu (300,000,000); hata hapo kariakoo hupati nyumba kwabei hiyo.
Kama utasema Sabodo alitumika kama kivuli cha CCM/serikali kuwapa CHADEMA pesa kwa ajili ya kampeni, :A S crown-2:hapo naweza nikakuamini kidogo.
Hizo...
tarizo si wafuatiliaji wa siasa wala ya wanasiasa; wapiga stori mitaani tu.
Fuatilia kauli za Cleopa Msuya/na hata za CCM kwa miaka yote 1995-2005 dhidi ya CUF (kuihusisha na uislam; kwavile mgombea wa CCM alikua mkristo,Mkapa. :canada:2005 kidogo walibadilisha tactic kwasababu mgombea wa CCM...
kauli aloitoa Jussa si maneno yake bali ni maneno ya Cleopa Msuya mwaka 1995 aliposema CUF watashinda maeneo ya mjini tu ambako kuna waarabu wengi (alimaanisha waislamu).
Kwa mjua maana hujua maana (hayo yalikua majibu kwa CCM; kwa ambavyo nimemfahamu mimi)
Ni maneno ya kupiga kijembe kwa...
"Sultan Seyyid of Zanzibar arrived at St Pancras Station, London, from Manchester yesterday afternoon for what was perhaps a last moment of glory in his public career."
Huyu Sultan wa mwisho wa Zanzibar alikua anaitwa nani vile! Sultan Seyyid!!!!!!!!!!!!!
Alotuma hii thread ana matatizo ya...
JUHA WA MAJUHA (UJINGA ULIOJE WA JUHA ASIYEJIJUA KAMA JUHA).
SINA MUDA WA KUBADILSHANA MAANDISHI NA JUHA KAMA WEWE.
NILIPOKUWA MWANAFUNZI NILIKUA SI-KREMU KAMA HIVYO ULIVOKREMU WEWE JUHA MKUU.
SOMA UELEWE; KAMA HUELEWI JARIBU KUFAHAMU UNAVYOELEWESHWA.
UNAONEKANA KILAZA WA HALI YA JUU; MANAKE...
TOPIC KAMA HII NINAIPENDA SANA, MANAKE INATUFUMBUA MACHO SISI WATANGANYIKA BAADA YA MUDA MREFU KUDUMAZWA NA NYERERE NA CCM YAKE.
MAKATIBU WAKUU WA SERIKALI IPI WALOKUTANA; KAMATI YA WATAALAMU IPI? IMECHAGULIWA NA NANI HIZO KAMATI?
CABINET IPI?
WEWE TIBAIJUKA WACHA KUTAKA KUTUGOMBANISHA NA...
ZANZIBAR INAWEZEKANA SI NCHI KWA MUJIBU WA WANASIASA UCHWARA WA CCM HUKU KWETU WANAVYOTUDANGANYA.
ILA ZANZIBARA WANA KATIBA YAO YA NCHI; NA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO INAITAMBUA KATIBA YA ZANZIBAR.
NAFIKIRI SISI TANGANYIKA NDIO HATUNA NCHI; KWASABABU JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA (HILI...
NAFIKIRI WAZANZIBARI WAKO SAWA.
SUALA LA MIPAKA NDANI YA TERRITORIES YA ZANZIBAR HALIHUSIANI NA MUUNGANO.
TATIZO WENGI WETU WATANGANYIKA HATUUFAHAMU HUU MUUNGANO.
KILICHOUNGANWA NI BAADHI TU YA MAMBO; KILA MTU ANA UTAIFA WAKE NA NCHI YAKE.
KAMA SI HIVYO INABIDI TUWASHTAKI TANGANYIKA LAW OF...
hata kabla ya hapo CUF na CHADEMA walikuwa wanachiana majimbo (kama CDM kina nguvu jimbo fulani CUF walikuwa wanawaachia; lakini), CUF lengo lake ilikuwa na vyama vyengine vipate nguvu; lakini hali haikuwa hivyo baada ya CHADEMA kupata nguvu imepata bipolar ddisorder (mania) ya kutaka kuonekana...
CUF inapoisakama CHADEMA Chama cha CUF kimeibuka kuwa mpinzani mkubwa wa CHADEMA hata katika mambo ambayo chenyewe kilikuwa kikiyaamini kilipokuwa chama kikuu cha upinzani. CUF hawajiulizi ni vipi CHADEMA imepata umaarufu wa ghafla namna hii. Kwa mtazamo wangu, umaarufu wa CHADEMA sio wa ghafla...
Aisee yani hii new generation gani hii ya kijinga; badala ya kuzungumzia siasa na demokrasia; wanachunguza watu dini zao; kwa kamtindo kama huu shuguli ipo (na hii inareflect wachangiaji wa forum yetu wakoje)
Pole sana new generation
Hivi awa CUF miaka ya nyuma (kuanzia 1995 >) hawakuwasaidia CHADEMA angalau wapate kiti 1 (hawakuweka wagombea katika baadhi ya majimbo ili CHADEMA wapate jimbo against CCM); CUF walipokuwa na wabunge wengi (1995, 2000, 2005) si waliwaingiza katika uongozi wa kambi ya upinzani wenzao wengine...
Kama CCM hawakushinda CHADEMA wasimtambue Rais wa Tanzania (CCM), nafikiri sote tunakumbuka CUF walivyoendesha siasa zao kipindi cha nyuma; mara nyingi walikuwa wanavamiwa mikutano yao, wananchi kuuliwa bure hasa pale Zakiem-Mbagala. katika hali kama hiyo ipi ni strategy nzuri (waendelee na...
"" Yeye mwenyewe Mwl alishasema enzi za uhai wake kuwa wakati wa utawala wake yapo mengi mazuri waliyofanya na vile vile yapo mengi ya kijinga waliyafanya kwa kuwa wao hawakuwa malaika. Kinachotakiwa ni kuachana na ya kijinga na kuendeleza yale mazuri.
Inawezekana Duni anataka tuendeleze yale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.