Jagermaster
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 654
- 316
Na lingekuwa BLW limeshirikishwa katika maamuzi mazito kama haya hata Jusa asingeuliza na kumtia matatani Prof Tibaijuka?
Lakin pia Je Prof ana mandate yoyote kisheria kuiwakilisha Znz kuhusu mambo ya ardhi kimataifa?
Pitia katiba yenu ya Muungano uone alivyovunja sharia.
Kwani Tibaijuka alijipeleka mwenyewe UN au alitumwa na rais wa Muungano?. Hilo swali mpelekeeni rais wa Muungano ndio atawajibu Tibaijuka alikuwa na mamlaka gani kwenda UN. Yeye personally Tiba munamuonea tu. Au kwa kuwa ni mwanamke maana nyie watu mnaovaa suruali vipisi hamjambo kwa kukandamiza wanawake