Recent content by Majutokk

  1. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa apata wakati mgumu kwa wajumbe Kamati ya Mambo ya Nje

    Hofu yenu ni ya nn Lowassa ni mwanasiasa makini kwa nn hamshangai Lowassa akiwa bungeni iwe ndani au nje ya ukumbi huwa anazungukwa na watu kibao akisimama kuongea meza zitagongwa mpaka kero naomba mtulie dawa iwaingie
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kutoka Landmark: Lowassa aongoza, Mwigulu Nchemba awapiku wakongwe kwenye utafiti wa TEDRO

    Edo lisongeshe umewacha mbali sana hata ukiamua kutembea hawakukuti
  3. M

    JamiiForums Tanzania Jumamosi tar 16/5/2015, Arusha kusimama kwa muda, Lowassa kutangaza nia Shekhe Amri Abeid

    Kiingilio sh ngapi maana ni na wasiwasi ule uwanja unaweza vunjika bure kwa kuzidisha watu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Diallo: Lowassa kaleta maji? Bora mimi

    Lowassa bangua kichwa hawajui watamzuiaje leo Diallo anataka tuamini Naibu waziri ana maamzi zaidi ya waziri na tu muamini nani kati ya Sumaye na Diallo ni hivi mnakumbuka shuka kumekucha kuhusu shule za kata mlimlaumu Lowassa kwa kuamlisha zijengwe bila good plan UDOM mlimponda kuwa aliamrisha...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Pambano la Maywether na Mannypacquiao

    Ushindi ni ushindi tu huyo kenge wenu angemtoa kwa KO kama mkali kihivyo
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wagombea urais CCM wafunguka kauli ya Rais Kikwete

    Lowassa bado hajatangaza nia ila tunamshawishi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya PAC kuhusu Escrow Kusomwa Jioni Bungeni

    Mnyele atakuwa anatumiwa na mzee Pinda ni mfipa mwenzake tena ni shushushu wa kutupwa ana nifahamu na nina mfahamu huyu mnyele alimuua mkewe kwa kipigo hata hakufungwa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya PAC kuhusu Escrow Kusomwa Jioni Bungeni

    Duuu hao akina werema wapo tayari hata kutoa roho ili ngoma isichezwe
  9. M

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma: Leo Jumatano, Tarehe 26 Novemba, 2014

    Nipo mwanza kirumba umeme umekatika sijui ni mwanza nzima naomba mnijuze
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya Zitto balaa

    Jamani Umeme umekatika kwangu na sijaenda kibaruani
  11. M

    JamiiForums Tanzania ESCROW ACCOUNT ilifunguliwa mwaka 2006 Edward Lowassa akiwa PM, Karamagi waziri wa nishati

    jamaaa pinda mara yakwanza hili jambo lina ibuka alikataa kuwa hakuna uharibifu wowote juzi kasema wanao husika hawazidi wa tano wewe unamwele waje kama waziri mkuu? Ni jizi tu
  12. M

    JamiiForums Tanzania ESCROW ACCOUNT ilifunguliwa mwaka 2006 Edward Lowassa akiwa PM, Karamagi waziri wa nishati

    Unaharibu uamakini wa hilo jina Kolimba hakuwa mjinga kama wewe na sisi wangoni mjinga ni Komba tu jua historia
  13. M

    JamiiForums Tanzania ESCROW ACCOUNT ilifunguliwa mwaka 2006 Edward Lowassa akiwa PM, Karamagi waziri wa nishati

    CCM imesha sema kila mtu abebe mzigo wake hapo ndipo mtakapo mjua Mwamba wa kaskazini
  14. M

    JamiiForums Tanzania ESCROW ACCOUNT ilifunguliwa mwaka 2006 Edward Lowassa akiwa PM, Karamagi waziri wa nishati

    Tutajua tuu nani Tumbili Na nani mwizi ungejiuliza kwanini wanahangaika hikitu isisomwe ndani ya bunge? Pimbi wewe
Back
Top Bottom