Pambano la Maywether na Mannypacquiao

Pambano la Maywether na Mannypacquiao

mwilawi

Senior Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
139
Reaction score
89
Wanajamvi vipi huu ushindi wa Maywether leo mbona mimi naona kama ilitakiwa iwe sare lakini waamuzi wameamua kuwa Maywether kashinda. Naomba wanaofahamu masumbwi wanidadavulie maana inachanganya.
 
mayweather kapigwa mkuu shida marefa wote wakwao na yeye yuko kiwanja cha nyumbani
 
umechanganywa wapi mkuu mleta mada!
 
Fitina imetumika mkuu pale hakustahili kabisa ule ushindi imetumika kubebana kwa sababu marefa wakwake na uwanja wa nyumbani
 
Ushindi ni ushindi tu huyo kenge wenu angemtoa kwa KO kama mkali kihivyo
 
Utata uko wapi wakati judges wote unanimously wamempa Floyd?
It's not about how many punches you throw, but how many punches landed.
Angalieni in slow motion round zote majibu mtapata unless mna makengeza
Pac ni mtoto
Go Floyd
 
Wanajamvi vipi huu ushindi wa Maywether leo mbona mimi naona kama ilitakiwa iwe sare lakini waamuzi wameamua kuwa Maywether kashinda. Naomba wanaofahamu masumbwi wanidadavulie maana inachanganya.

Wanaofahamu masumbiw na magwiji wamempa ushindi
 
Fitina imetumika mkuu pale hakustahili kabisa ule ushindi imetumika kubebana kwa sababu marefa wakwake na uwanja wa nyumbani

mayweather kapigwa mkuu shida marefa wote wakwao na yeye yuko kiwanja cha nyumbani

Mimi kiukweli kura yangu nilimpa Pac, ila mchezo unasheria zake, na lengo la bondia ni kushinda mchezo either kwa Tko au kwa point
Sas Floyd kaamua kushinda kwa kutumia point kacheza na sheria tu.
Hata mpiran ushindi hapewei aliemiliki mpira sana au kupiga chenga nyingi bali alie funga.
 
Yuko live on ESPN right now. Keshaanza visingizio eti aliumia bega kabla ya fight!
Anakiri kuwa amepigwa kihalali.
Mfilipino kazi yake ni kuchoma viazi Na sio boxing
Mtakula maneno yenu leo. Mayweather ndio dume
 
ameshinda kihalali hayo ni ya wapemba kufungwa twafungwa lakini chenga twawala pac alirusha makonde mengi lakini guard ya floyd ilikuwa juu sana angalia slow motion zote za kila ngumi zilizo land kwa kila mpinzani utaona ubora wa majaji wa leo so pac amepigwa kiharari
 
Back
Top Bottom