Recent content by majutobeach

  1. majutobeach

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Zitto Kabwe: Akutana na Spika wa Bunge la Marekani, Nancy Pelosi

    Mwanaume washoka huyo huyu ndio anafaa kuwa Rais Sent using Jamii Forums mobile app
  2. majutobeach

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Serikali ya Rais Magufuli kichekesho cha karne

    Kweli tumepotezwa mbaya Sent using Jamii Forums mobile app
  3. majutobeach

    JamiiForums Tanzania Asante Vodacom kwa vifurushi vipya

    Bado wezi tu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. majutobeach

    JamiiForums Tanzania Joyce Ndalichako na Kiingereza kibovu tena

    Mbona aliamasisha wafanyakazi wa serikali wasio maliza kidato Cha nne wafukuzwe wakati yeye mwemyewe hamnazo Sent using Jamii Forums mobile app
  5. majutobeach

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amfukuza kazi Mtumishi wa Serikali aliyechana Juzuu Amma huko Kilosa

    Waliopita wangekuwa Kama huyu? duhhhh! Mauuu weeeeee it Sent using Jamii Forums mobile app
  6. majutobeach

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna siku jiji la Dodoma(makao makuu TZ) litakuwa bora kuliko majiji yaliyotangulia kama Mbeya, Dsm, Arusha, Tanga na Mwanza.?

    Yani mijitu mingine hutafikiri haikwenda shule wewe unawezaje kufananisha jiji Na jiji la Dodoma? Hata hiyo Dar wakati inapewa hadhi ya jiji haikustahili kuwa jiji kipindi hicho Kama nijiji ilipaswa iwe eidha mwaka Jana au mwaka juzi kwa mfano Nairobi hakuna bahari lakini jiji la Nairobi huwezi...
  7. majutobeach

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna siku jiji la Dodoma(makao makuu TZ) litakuwa bora kuliko majiji yaliyotangulia kama Mbeya, Dsm, Arusha, Tanga na Mwanza.?

    Mnajadili Nini mnafananisha mtu mzima na mtoto was miaka miwili hata Roma haikujengwa siku moja Sent using Jamii Forums mobile app
  8. majutobeach

    JamiiForums Tanzania Wanasheria tusaidieni hili jambo la kuwekwa mahabusu na Polisi wetu wa Kitanzania

    Utakuta imetokea ajali ya gari na mwendesha pikipiki au chombo chochote cha Moto na katika ajali hiyo chukulia imesababishwa na marehemu kutokana na mchoro wa trafic lakini Mimi dereva ambaye sikuwa na kosa la kiuendeshaji nachukuliwa na kuwekwa mahabusu nakuambiwa kuwa nimeua. Mfano mwendesha...
  9. majutobeach

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Waislam kufundisha karate Misikitini lina maana gani hili

    mafunzo tu Kama mafunzo mengine Sent using Jamii Forums mobile app
  10. majutobeach

    JamiiForums Tanzania Mijadala ya Tundu Lissu na porojo zake zinawapotezea muda baadhi watanzania kuwajibika

    Hii mijitu ya com iking'ang'ania vitu ni hatari mtu kapigwa lisas fanyeni uchunguzi muuweke hazarani hamtaki leo mtu kapona anaongea ukweli inajitokeza mijitu yenye vihelehele inaazakuongea kisa imepewa madaraka na jiwe Sent using Jamii Forums mobile app
  11. majutobeach

    JamiiForums Tanzania Asante Godbless Lema kwa kumtembelea Kitwanga katika Hospitali ya Muhimbili

    Lema ni mwanasiasa mahili sana ana ona mbali juu ya mustakabari wa nchi yetu hongera sana Sent using Jamii Forums mobile app
  12. majutobeach

    JamiiForums Tanzania Lissu: Mtu/Watu wenye nguvu walipanga kuniua kwa namna ambayo ingekuwa fundisho kwa wengine

    Tuko pamoja nawe Tundu lisu acha hao wanafiki na wazandiki Wapige Kelele majibu2020 lazima upate urais Sent using Jamii Forums mobile app
  13. majutobeach

    JamiiForums Tanzania Shida ya Tundu Lissu mwepesi kusahau na hana adabu

    Lisu hoyeeeeee Sent using Jamii Forums mobile app
  14. majutobeach

    JamiiForums Tanzania Uwezi mdogo ICD ya fentuzy

    Serikali iangalie icd hii hainauwezo wa kupokea na kupakia contena Sent using Jamii Forums mobile app
  15. majutobeach

    JamiiForums Tanzania Wapinzani hawataki Bombardier zifanyiwe ukarabati

    B 13 dahaaaaaa zimeingiza sh ngap Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom