Asante Godbless Lema kwa kumtembelea Kitwanga katika Hospitali ya Muhimbili

LESIRIAMU

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
6,190
2,000
Nimefika Muhimbili hospitali leo kumsalimia rafiki yangu na Mbunge mwenzangu Mh Charles Kitwanga.Nina mshukuru Mungu kuwa anaendelea vizuri sana.Nina imani kubwa kwamba hivi karibuni atakuwa nyumbani na familia yake.
Mh.Godbless Lema

Sent using Jamii Forums mobile app
Le unge kuwa Ccm unge futwa uanachama. Ila wewe ume tii maandiko.
Nilikuwa mgonjwa ukaja kuniona....

Sent using Jamii Forums mobile app
 

kiraia

JF-Expert Member
Nov 20, 2007
1,713
2,000
Sio kweli, makamu wa raisi mama samia alienda kumuona lissu kule nairobi!

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua sababu ya Mama samia kufika Nairobi mpaka kwenda kumwona Lissu? Unajua nini kilikua kinafanyika Nairobi alivyoenda mama Samia. Pamoja na kwamba mama ana Roho nzuri asingeweza kufunga aafari kwenda Nairobi kumwona Lissu kama sio kuapishwa Kwa Kenyatta. Naona Chama kinamtumia mama Samia kama Dodoki lao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Chief Kabikula

JF-Expert Member
Jan 1, 2019
6,420
2,000
Usiwe kama yule snayekataza wabunge wa ccm kwenda kuwaona wapinzani hospital anatia aibu sana .
 

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
35,965
2,000
Hayo mambo yalikuwa yakawaida enzi za JK, lakini tokea aingie huyu mtu imekuwa kutembeleana ni dhambi. Ukiona anaweza kuwaambia wabunge vijana wa kike msiwape unyumba wabunge vijana wa upinzani eti mtanogewa na kutoa siri ujue huyo ni wa kumuangalia mara mbilimbili. Ni hatari kwa mshikamano wa kitaifa
 

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
32,104
2,000
Hakika nimefarijika sana na kitendo cha kibinadamu kilichoonyeshwa leo na Mh.Mbunge Lema(Chadema) kwenda kumjulia hali Mh.Mbunge Charles Kitwanga(CCM) aliyelazwa .Mtakumbuka wakati Mh.Lema yuko Mahabusu Mh.Kitwanga alikuwa Waziri wa Mambo ya Ndani lakini Mh.Lema amejali Ubinadamu zaidi kuliko chuki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ikumbukwe pia Lema alimshambulia sana waziri huyu kuhusu suala la Lugumi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom