Recent content by majuto mbedule

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Simu yangu inawaka na kuzima baada ya kuanguka

    Samahani jamani, simu yangu huawei y360 ilianguka sasa kila nikijalibu kuwasha inanicommand kureboot ila nikiiboot hairudi wala haiwaki na nikiwasha inawaka na kuzima tena inawaka na kuzima nainajirudiarudia hivyo hivyo kwa hiyo naombeni msaada wenu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mkitoka out na mwenzio, nani anastahili kulipa?

    [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] sawaaaaa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mkitoka out na mwenzio, nani anastahili kulipa?

    hahahahaaaaaaa haya bwanaaaa sawa ni wazo zuriiii
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mkitoka out na mwenzio, nani anastahili kulipa?

    Habarini wakuu, Kuna kitu huwa kinanitatiza sana, Hivi mkiamua kutoka out na mwenzi wako halafu vitu vikaagizwa mfano chakula na vinywaji, bili ikitoka ni yupi anastahili kulipa? Nawasilisha!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Aunt Ezekiel anamaanisha nini kuonesha hii alama?

    hahahhaaaaa ama kweli lzma uhangaike
  6. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi laondoa zuio la mikutano ya ndani ya vyama vya siasa

    aaaaah kwa kweli ni haki kwa kila chama kufanya siasa kwa hii nchi ni ya mfumo wa vyama vingi
Back
Top Bottom