Nenda kwenye email yako bonyeza neno forget password .Baada ya kubongeza italuletea Type your email
Pia kwa chini kuna maneno yameandikwa kwa repicha
Type hayo maneno then submit ,ukisha submit watakuandikia reset password sent to your email .Baada kama dk 2 watakutumia link ya inasema...
Pole sna kiongozi nami nilikuwa na Mama mdogo wangu naye alikufa kw a kuungua moto zamani mwaka 1996 ndo alikufa huu ugonjwa ni hatari Sana Ila ,nilisimuliwa kuwa huyu Mama mdogo alilogwa .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.