Recent content by majosa jr

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri ndugu zangu, nimepata kazi serikali na kwenye private sector, niende ipi?

    mara nying prvt wanalipa more than gvt sasa in case wakafanana bs bnfs nina shaka na haina iyo ya prvt uwenda sio kivile
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina Shahada ya Sheria

    Mtu mzima hadi akiandika hv ujue hali taiti, kuna ya kufanya moja pita kweny vishule hv vya english medium uwenda ukapata dili. Pili tafuta kamtaj ufungue gol lako la chips kuku nadhan chai itapatikana
  3. M

    JamiiForums Tanzania Madudu ya Wizara ya Elimu: CSEE 2013, Wote waliopata DIV III walipata DIV IV na failed

    mfano wako hapo juu..C3 NA D4 =9+16=25 WAKATI UHALISIA NI C3 NA D4= 12+20=32 KWA MADARAJA YA SASA. NECTA WAPO SAHIHI.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Madudu ya Wizara ya Elimu: CSEE 2013, Wote waliopata DIV III walipata DIV IV na failed

    mkuu kuna mahali unakosea A=1, B+=2,B=3, C=4, D=5, E=6 NA F =7 WEWE UMEPIGA HESABU ZAKO ZA POINTC=3 NA D=4 HAPO UMEKOSEA
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kama seminari kigezo ni kanuni na sheria kali, mbona shule za kiislamu sufuri.

    wanajamvi matokeo ya sec za seminari(za katoliki) zinafanya vzr sbb n kanuni na sheria kali. vp shule za kiislamu kunani
  6. M

    JamiiForums Tanzania Et ni kweli robo ya walimu secondary wapo hv?

    kuna tetes et robo ya walimu sekondari wanafundisha somo la kiswahili na historia je wadau leten ukweli hapa jamvini
  7. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kuuza Mkaa: Uzoefu, Vibali vya kuchoma, Changamoto na Ushauri

    hakuma biashara isiyo na changamoto la muhimu kukabiliana nazo ili mambo yaende
  8. M

    JamiiForums Tanzania Maprofesa mumechemka- rudi darasani kwanza au ni dalili mbaya ya uzee?

    Ni aibu sana kw nini mfano tume inakusanya maon hawa akina shivji, bana, hawakusema haya leo wanasema
  9. M

    JamiiForums Tanzania MAKWAIA,umeamua kuwa MNAFIKI !!

    Hakuna aliyeneutral katika nch hii, ila tatizo ni kuwa tayar kupata mawazo upande wa pili ndio tatizo la makwaia.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Dhamana bodaboda 5, je inawezekana?

    biashara hiyo hiyo ya boda nataka kuongeza
  11. M

    JamiiForums Tanzania Dhamana bodaboda 5, je inawezekana?

    wanajamvi nina bodaboda 5, ila nataka kukopa pesa bank au taasisi ya fedha yoyote dhamana izo boda, wapi na inawezekana
  12. M

    JamiiForums Tanzania Gereza la maweni, butimba na lilungu balaa

    Wadau kuna tarifa kuwa magereza tajwa juu ndio magereza yenye kazi ngumu na shuruba kwa wafungwa. Ni kweli wadau?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri aina nzuri ya Pikipiki !!

    boxer spear zake ghali sana, ila ni mzuri na confortable kama PESA IPO NUNUA IYO
  14. M

    JamiiForums Tanzania kipi kinaanza

    kwani kuna tofauti gani kati ya ubongo na akili, au kitu kile lile majina tofauti?, au kimoja kipo ndani ya kingne
  15. M

    JamiiForums Tanzania Landmark hotel: Kongamano kuhusu katiba mpya tarehe 5 April, 2014

    Vp kuna tv yoyote inarusha live kongamano la ukawa? Ebu wadau tupieni dondoo toka landmark
Back
Top Bottom