Nikwel haifai kudhihaki imani ya mtu,,sisi ktk imani yetu tunahusiwa sana kuongea jambo ambalo una elimu nalo, kama jambo hauna elimu nalo bc tunakemewa vikali sana kutolizungumzia, sina tatzo na hoja yko,, kama uyo muimbaji amekosea lzma akemewe,.nlichojarb kukukumbsha tu kuhusu msikti, maana...