Kufanikiwa kumaliza Shahada ya Uzamili na Uzamivu ni lengo kubwa na muhimu. Hapa kuna hatua muhimu za kuchukua ili kufanikisha malengo yako:
1. Chagua Kozi Inayokuvutia:
Chagua shahada au programu ya uzamili inayokuvutia na inayofanana na malengo yako ya kazi na maslahi yako. Uchaguzi wa...
Dr. Masanja achana na huyu, rekebisha taasisi yako, kuna mapungufu mengi, na kukutana na wafanyakazi wa taasisi yako katika hizi kazi kumenijulisha mengi, nitakusaidia inbox nimepewa contacts zako. Lkn kuna shida nyingi. Natamani hoja hii ifike mwisho
Wewe nadhani unawapenda chuo chako ulichosoma na wahadhiri wake, ibaki hivo utakuwa umewasaidia, binafsi sipendi kusogea mbele lkn basis washauri wazidi kuwa bora katika uendeshaji Wa taaluma.
Lkn nimeshangaa kidogo, unaona sawa ngono kati ya wahadhiri na wanafunzi wao? Wewe ni kati ya waliopewa...
Tatizo lako unataka tujibizane, nimekuambia hawa watu nawafahamu, ndo maana nilikuambia usitake tuanze kuandika takataka zote za hii taasisi, kwa kiwango kikubwa wamejitahidi sasa ukitaka tuanze kuweka majina hapa hatujengi, au unataka
1. Tukutajie hao ambao marazote wamo kwenye uwezeshaji kwa...
Wamejirekebisha pakubwa, vituoni kumeenda vizuri. Nyie mnaowatetea msitetee sana. Mafunzo yamefana, na tunawashukuru ADEM kwa kazi nzuri.
Ila jambo moja muhimu mbeleni, fursa za kuwesha mafunzo msichukue ndugu na wapenzi wenu. Kuna malalamiko wako wakaguzi wanawake kutoka kanda ya ziwa...
Kama unaweza kuwatete kiasi hiki basi huwajui.
Tumeahirisha mafunzo na tunaenda mikoani. Umeanza kutaja majina ya unawafahamu. Jana ndo nimemuona huyo mkurugenzi na yako yenye ukakasi juu yake na timu yake. Inatosha kwa sasa, tuwalindie heshima kwa muda, wanafamilia zao pia, Mimi pia...
Ndugu, unaonekana kuwa sehemu yao, Abdulahman amekujibu lkn naona umekomaa.
Hata hivo maboresho Kidogo yameonekana, waboreshe zaidi, na hasa sasa nidhamu zao kwa walimu huko mikoani. Tuko pamoja.
Sawa, basi ili mjue sio dagaa na mnatunisha misuli tutayafuatilia haya mafunzo kama ya wenzenu Taasisi ya Elimu Tanzania hadi mkapewa nyie, walikuwa na kibri kama hili.
Sisi ni watumishi wa umma, tunaheshimu taasisi za umma na lkn tunapiacha keheshimiwa na kupewa dharau sio sawa.
Serikali...
Tumeitwa kutoka wilaya zetu
Tumeanza mafunzo Leo morogoro na tumeambiwa kuwa yatafanyika katika mikoa 10
1. Bado hayaeleweki yanalenga nini na ni ya Siku Tatu, hadi jioni haijaeleweka
2. Malipo ya kujikimu hayana ufafanuzi mzuri, na maelezo yao ukiyasikia yana shida
3. Chakula kibovu hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.