Recent content by majita kwetu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Majaliwa: Walimu lazima wakatwe fedha za maabara

    wakatwe tu walimu hawajitambui.wakiitisha mgomo hawagomi.tena nashauri wakatwe mfululizo miaka 20
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ni muda wa wezi na majambazi kufanya uhalifu policeccm wako bize na chadema

    kwa hali ilivyo kwa sasa policeccm wako bize na chadema.ninatabiri matukio mengi ya uhalifu yatatolea kwa wingi.kinachofurahisha hata hawajui kuwa wanapokuwa wanatutawanya ndo ujumbe unafika.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa yuko star tv

    jamani kabla ya ccm kuzima umeme mwagalieni na mmsikilize msigwa.yupo na lukambura diwani wa zamani wa kirumba kabla ya kushindwa ma chadema
  4. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Kuanzia Jumatatu, Sept 22 ni wiki ya Maandamano Nchi nzima bila kikomo

    mvua inyeshe isinyeshe.jua liwake lisiwake policeccm waje wasije.kwenye tope au kwenye mchanga.tutaandamana kupinga bunge la katiba.nawaomba policeccm mjiandae kutulinda.tutaanzia makojo hadi busekera.msisahau silaha za jadi.omworo.jimalo.na mabhwii.bila kusahau manati.
  5. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA isitishe maandamano

    tutaandamana tu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Live Updates: Yaliyojiri Mkutano Mkuu wa CHADEMA ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam...

    wamezima umeme.solar inapepeta.ikizingua jenereta ipo.na garoni 8 za lita 20@ moja.hawakatizi.tuko uwanjani
  7. M

    JamiiForums Tanzania Live Updates: Yaliyojiri Mkutano Mkuu wa CHADEMA ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam...

    kwani kinana.nape.nchemba.mangura.walichaguliwa ama waliteuliwa?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Live Updates: Yaliyojiri Mkutano Mkuu wa CHADEMA ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam...

    hata kama ni uteuzi sola na jenereta viko on.vipi ww ulijitokeza kugombea kama unaona ni uteuzi?uzembe wa kufikiria hadi aibu.niambie kinana.nape.mangura.migiro.mwiguru.nafasi zao walizonazo walishindana na nani?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Live Updates: Yaliyojiri Mkutano Mkuu wa CHADEMA ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam...

    leo lazima tuangalie uchaguzi wa chama dume chadema kikifanya uchaguzi.kwa kuwa ccm mmezoea kuzima umeme kwangu leo hamuambulii kitu.sola ikizengua nawasha jenereta imekula kwenu na roho zenu za kutu.
  10. M

    JamiiForums Tanzania CCM wajiandae kumlipa Tundu Lissu millioni 76

    wakome
  11. M

    JamiiForums Tanzania Makongoro Nyerere: CCM kusambaratika ndani ya mwaka ujao - 2015

    ccm kama ukoo wa panya
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mrema: Nachezewa rafu Jimboni na Mbatia

    Mrema yule mzee ambaye hana point?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli kagua Pamba road Mwanza

    aache tu.kwani hana lolote tofauti na kukariri km zinazojengwa
  14. M

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri bungeni Dodoma: Ijumaa tarehe 12 Septemba, 2014

    Pinda aliwambia zanzibar si nchi na hili limejidhirisha leo Rage kawajibu hawezi kuwa wanachama wa FIFA kwani hawatambuliwi UN. Wanaotambuliwa ni Tanganyika ambao hakuna ubishi ndo wamejivika koti la TANZANIA na Muungano. Katiba ya Zanzibar inasema Zanzibar ni nchi.Napenda niwaambie hata...
Back
Top Bottom