tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 27,721
- 29,154
Naibu Waziri wa TAMISEMI, Mh Kassim Majaliwa amesema kwamba walimu lazima waendelee kukatwa fedha kwa ajili ya ujenzi wa maabara za Shule za Sekondari za Kata. Mh Majaliwa amesema hayo wakati akihojiwa katika kipindi cha Kumepambazuka cha Radio One Stereo.
Amesema kwamba udogo wa mshahara wa mwalimu na malimbikizo ya madeni ambayo walimu wanaidai serikali hakiwezi kuwa kisingizio cha walimu kukataa kukatwa fedha za maabara kwani kila mwalimu hukatwa fedha kidogo katika mshahara wake kwa ajili ya kufanikisha ujenzi wa maabara za watoto wetu.
MAONI YANGU
Mimi nasema hao walimu wakatwe tu kwa kuwa ni muda mrefu wamekuwa wakishirikiana na CCM kuiba kura zinazowawezesha kuendelea kukaa madarakani. Wakatwe tu maana hakuna namna nyingine ya kupata fedha za ujenzi wa maabara.
Hata watoto wao pia wanasoma katika shule hizo na watanufaika na huduma za maabara zinazojengwa ktk shule za Kata. Wakatwe tu maana tumechoka kuwaona wanafunzi wetu wakisoma katika shule zisizokuwa na maabara
:israel: