Tunabwata weee mchana kutwa, usiku ukifika twaingia vyumbani mwetu hadi kunakucha, salaama na amani. Hamshukuru nyie!!!! 'something is done'. asubuhi kelele tena, JK hivi Ben vile, EPA, BUZWAGI kadha wa kadha. TUFANYE KAZI KWA BIDII...Hakimu, polisi, magereza, mwanahabari, raisi tena wote hata...