Recent content by Majighu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Unfaithfull!!!!!!!

    so hafai huyo sio.. nimekusoma mkuu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Unfaithfull!!!!!!!

    Sio mwaminifu kihivyo ila the isue anasema walivyokubaliana tangia wanaanza relationshp yao ni kwamba atakayemsaliti mwenzie na ikafahamika basi wanaachana so yeye kamkamata mpnz wake na kiukweli anasema its difficult to 4get what have happend.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Unfaithfull!!!!!!!

    Natumaini mwaendelea vizuri na majukumu yenu ya kila siku.. Kuna ndugu yangu amesalitiwa na mpnz wake wake wa kike(girlfriend),ana uhakika 100% kwamba amesalitiwa na huyo gal wake kakubali. Huyo gal wake kamuomba msamaha na akasema kilichotokea ilikua bahati mbaya na anaomba 2nd chance waendelee...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wana JF je hii ni haki kwa waliohitimu ST. MATHEW SEC??

    Ndungu zangu wana JF,St. Mathew Secondary ni moja ya shule zilizo na sifa kubwa jijini Dar es salaam lakini vilevile ni shule ambayo ina mafisadi kupita kiasi kwa wale wenye ndugu zao wanosoma pale wanalitambua hilo. Imagine mwanafunzi aliyehitimu kidato cha nne au cha sita anaambiwa atoe Tsh...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Jamani wana JF kwa wale ambao mmeshasikia au mmeenda kwa babu Loliondo,je babu anatibu vidonda vya tumbo?? Nna tatizo hilo.. Pa1 wakuu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Jamani huyu model Jenipher kama kashushwa

    Mtoto mrembo balaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Makumira University kumekucha!

    Hii serikali ishauzwa kilichobaki kugawana 2.. Wenye uwezo wa kujilipia wanapewa mkopo wasio na uwezo hawapewi. Ha2na serikali hapa,bora wagome 2 hop mambo yao yatata2liwa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tido Mhando atemwa TBC

    bora kasepa mana nae alikua anazingua tu..
  9. M

    JamiiForums Tanzania Aisee huyu dogo baada ya miaka kumi atakuaje wandugu???

Back
Top Bottom