Recent content by MAJANGAMAJANGA

  1. M

    Nafikiria kuanzisha biashara ya kuuza barafu (ice cream) naomba wazoefu mnipe ushauri

    Hilo tank ni mashine mkuu ndani ya hilo tank kunakuwa kuna maji chumvi na evaporator coil zinazoleta ubaridi kwanini wanaweka chumbi kwenye hayo maji wanaweka chumvi kushusha joto la maji huwa linashuka mpaka-7Centrigrade joto la maji linapokua limeshuka namna hiyo ukiweka vile vikopo(mould)...
  2. M

    Waliowahi kumiliki pikipiki aina za Shineray tupeni uzoefu wenu

    Wakuu habari za humu ndani kama kichwa kinavyojieleza hapo wale waliowahi kumiliki pikipiki. Ana ya shineray tupeni uzoefu wenu kuanzia changamoto zake ,ulaji wa mafuta, uoatikanaji wa spare zake. Nawasilisha
  3. M

    Maisha ya ndoa anayo pitia ndugu yangu ni mateso, je amelogwa?

    Walimu wanakatabia kao fulani ka kulana walimu kwa walimu wa ofisi moja wanakulana sana. 140000 ni pesa ndefu ukiamua kujinyima utaangaika mwanzo tu lakini utakaa sawa subiri mwisho picha linaisha anakuja kulala na mwanaume wake ndani .
  4. M

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Korona imeharibu sana Niliagiza mzigo tangu mwezi wa kwanza na Aliexpress mzigo wangu ndio nimeupokea mwezi huu wa tisa tunaelekea mwez wa 10
  5. M

    Ni mambo Gani ya kuzingatia pale unapokutana na ex wako aliekuacha ukiwa bado unampenda

    Kuukumbuka utamu wa zamani ni sawa na kurudia dhambi moja ile ile tena na tena.
  6. M

    Ni hatua gani sahihi ya kuchukua pale mapenzi yanapochuja kwa yule mtu umpendaye?

    Mapenzi kuchuja hio ni kawaida kabisa kiongozi hayawezi kuwa sawa sawa kwa kipimo kilekile Kuna wakati mapenzi yanazidi hata zaidi ya mwanzo na kuna wakati chuki inatokea unajikuta umpendi tu yule uliyekuwa ukimpenda mwanzo na kuna wakati mapenzi huwa kawaida tu kuna wakati yanazidi tena...
  7. M

    Tupe mkasa wako ulivyoishia kumuoa uliyedhani utapiga na kusepa

    Utafanyaje chaguo kwa kitu kimoja lazima uwe na vitu zaidi ya kimoja ili uweze kuchagua vyema.
  8. M

    Ewe mwanaume: Je, wajua umeshika bomu la Nyuklia kwenye mahusiano?

    Kingono Mwanaume ni MASTER WA NGONO ni kama bomu ni rahisi kupata JOTO na HARAKA SANA kulipuka . Kihisia Mwanamke ni MASTER WA HISIA ni rahisi kupata joto na rahisi sana kulipuka Kingono MWANAMKE Ni kama maji yanachukua muda kupata JOTO LAKINI YAKIISHAPATA JOTO YANACHUKUA MUDA MREFU KUPOA...
  9. M

    Nguvu ya Punyeto na kujichua katika Ulimwengu wa Roho

    Kwani mkuu hujaona article zinazoelezea athari za ndoto nyevu kiroho?
  10. M

    Nguvu ya Punyeto na kujichua katika Ulimwengu wa Roho

    Kuzirepress ngono energy ni tatizo kubwa sana japo tamaduni jamii ,makanisa vimekua vikiona hii kitu ngono kama dhambi kubwa sana we check india rate ya ubakaji ilivyo juu energy hii ya ngono unavojitahidi kuizuia ndivyo inavyoleta balaa unaweza fanyaa maafa makubwa visilani visivyoisha kwamaana...
  11. M

    Nguvu ya Punyeto na kujichua katika Ulimwengu wa Roho

    Katika Taoism lengo kuu la kumwaga manii ni kwaajiri ya kuzaliana pekee la sivyo inatakiwa ufanye sex lakini usipiiz na hiyo yane umgonge mkeo na usimwage kojo na wanambinu za kucontrol ejaculation hii ilianza karne hizo nanilibaki siri kwa watu wachache tu.
  12. M

    Nguvu ya Punyeto na kujichua katika Ulimwengu wa Roho

    Hata kufanya sex na mtu usiempenda nayo ni punyeto
  13. M

    Kumchukua Barmaid na kuingia naye Lodge, Guest House au Geto ni sawa na kumchezea simba

    Usiombe kwenda huko mkuu ni hatari mambo yanayoendelea huko. Utakua unakula mbweche kila siku matokeo yake utapandisha kenchi mapema sana.
  14. M

    Paka wa Schrödinger

    Hao paka wa Scrodinger nimewasoma nakuwasoma nimerudia labda huyu jamaa Scrodinger alikua jambazi katega paka na bomu kawapelekea fbi kama mtego wapi nimetoka kapa naona paka tu anazunguka zunguka na Atoms [emoji23][emoji16] Physics bana mtihani sana. Sent from kijijini kijiji cha quantum pakasm
Back
Top Bottom