Recent content by Majan

  1. Majan

    JamiiForums Tanzania FT: Gaborone United 1-1 Young Africans SC | CAFCL-1st Leg | Botswana National Stadium | 05-09-2026

    Ndio na kipindi cha pili yanga wakiutumia upepo vzr watanufaika nao
  2. Majan

    JamiiForums Tanzania FT: Gaborone United 1-1 Young Africans SC | CAFCL-1st Leg | Botswana National Stadium | 05-09-2026

    Lkn pia ukiangalia jezi za wachezaji zinavyopepea kunaonekana kuna upepo sana
  3. Majan

    JamiiForums Tanzania Aliyepasua kioo cha gari akidai bodaboda amegongwa akamatwa

    Safi sana,Wazo zuri kama wahusika wataliona nakulifanyia kazi itakuwa msada mkubwa
  4. Majan

    JamiiForums Tanzania Hivi hii Yanga itakua ni project ya chama cha mapinduzi ama?

    Natamani kuona uwekezaji wao mkubwa uje uwalipe kubeba kombe la CAF ,huwa nashangaa sana pale wanapotolewa mapema
  5. Majan

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Zambia 2026: Hakainde Hichilema ashinda Urais kwa muhula wa pili

    Upo vzuri kaka,nasio mvivu kuandika/kudadavua kitu ambacho unauelewa nacho, be blessed
  6. Majan

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje parachichi tunauziwa bei kubwa hivi?

    Mwaka huu parachichi zimeisha mitini zote kwa pamoja zakisasa na kienyeji maranyingi huwa zinapokezana zinapoisha zakienyeji unakuta ndio zakisasa zinaanza,,Mbeya sasaiv parachichi lajero kama lakuonjeshwa ,lamiasaba ndio kidogo zuri tena nihaya yakisasa ,ukikuta lakienyeji ambayo maranyingi...
  7. Majan

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wanaotumia ATM machine kutoa pesa bado hawajui huduma ya kugusa kadi (NFC Reader) kutoa pesa wamezoea njia ya kuchomeka kadi

    Sawa kabisa,Kuna kadi yangu ilivunjika ikiwa na mwezi tu tangu nirenew nikasema siombi kadi mpya ikawa nimwendo wakugusisha tu lkn kuna tawi ilo nilikuwa nikienda nagusisha mpaka nakandamiza lakini haisomi
  8. Majan

    JamiiForums Tanzania PIKIPIKI YA SIMORAY 250 ADV

    Kuna uzi humu wa ndugu Dit000 jaribu kuupitia
  9. Majan

    JamiiForums Tanzania Nimenunua bodaboda aina ya Sinoray 250 ADV. Nawezaje kuifanya kuwa stable?

    Asante kwa mrejesho,utawasaidia wengine katika kufanya maamuzi/machaguzi
  10. Majan

    JamiiForums Tanzania Aliyedukua tovuti ya Chuo Kikuu aitwa akasome bure

    Hatuendelezi vipaji
  11. Majan

    JamiiForums Tanzania KERO Shule ya Msingi VETA, Mbeya inatoza wanafunzi michango na vyakula

    Kwasasa shule zaserikali zimeamua kujipambanua kupandisha ufaulu na katika hatua wanazochukua moja wapo niwatoto kupata mlo wamchana shuleni,mitihani yakujipima kila wiki namasomo yaziada.ila hapo kwene mchele kilo 10 na maharage kilo 7 nikwamwezi ama..kijijini kwangu kama huna maharage,chenga...
  12. Majan

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa mabasi ya katarama kuwa makini sana

    Mzee wewe huwezi kuwa mnazi ila ni mhusika kabisa wa KT asante sana kwa kushare nasi some deep details
  13. Majan

    JamiiForums Tanzania Kwanini nyumba zinazopauliwa kwa mabati mfano wa vigae ni chache sana?

    Kuna fundi aliniambia yanatumia mbao nyingi katika kupau kuliko mabati yakawaida
Back
Top Bottom