Kumbe majibu unayo, sasa unashangaa nini? hao watoto wa masikini wametoka mbali sana mpaka kufika SUA, na kilichowapa nafasi si kiingereza ni uwezo wao kitaaluma. Mwenyezi Mungu si mbaguzi km binadamu waliowanyima shule bora. Watafika tu Inshaalah!
Kumbe majibu unayo, sasa unashangaa nini? hao watoto wa masikini wametoka mbali sana mpaka kufika SUA, na kilichowapa nafasi si kiingereza ni uwezo wao kitaaluma. Mwenyezi Mungu si mbaguzi km binadamu waliowanyima shule bora. Watafika tu Inshaalah!
Umenikuna. Mtu ameng'ang'ania ulaya, US miaka nenda rudi eti anatafuta maisha! sasa kama unazeekea huko bado hujayapata, unaamini ukiyapata utayatumia lini? Nafikiri kwa wale wazawa wa TZ serikali ingewafikiria angalau iweke ukomo wa kuishi nje, mfn miaka 10 au 15, zaidi ya hapo ndio ufutiwe...
Hiyo filamu ni tragedy, badala ya kuwaandaa wafaulu wanabebwabebwa tu kwa kushusha viwango vya ufaulu ili wasonge mbele ndio matokeo yake wanaitwa makapi. Hiyo ndiyo BRN? Mimi nasubiri tu watakapobebwa hadi chuo na kuanza kula madisco ya kumwaga labda ndio tutapata akili ya kuipanga vizuri BRN.
Mada inazungumzia 'mavazi ya kanisani' kwa hiyo madai yake ni kuwa hao pichani walikuwa kanisani? halafu anapozungumzia 'mavazi ya kanisani' anamaana kuna dress code ya kanisani? Ninavyojua km mkristo, na kwa kuzunguka kwangu makanisa yooote yanasisitiza vazi lolote la heshima baasii!. Kwa hiyo...
Usinichekeshe, kwani kodi ya simu ingekuwa na maumivu tofauti na tunayoyapata kwenye kodi nyingine ambazo tayari tumekuwa tukizilipa? Hatutaki kusikia kodi zaidi kwa sababu hata tunazozilipa hatuoni manufaa yaakee, fullstop
Au mimi ndio sijaelewa! mbona vigari hivi (toy) hata elfu kumi haifiki? laki mbili yote hiyo? au unahitaji vingi upeleke msaada kituo cha kulea watoto nawewe ukapigwe picha umewasaidia watoto ya..ma?
Eeh, nilianza kusikiliza kama utani tangu saa sita usiku nimejikuta nanogewa hadi saa nane na madakika ndio nalala. Kiongozi huyu wa kanisa ameongea jamani, mambo yote aliyoongelewa ndio haswaaa kero ya watanzania walio wengi hasa ambao hatuko kwenye uongozi serikalini, yanatukera mnoo, hatuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.