hiyo yakupiga magoti mkuu utasababisha idadi ya wanaume iendelee kupungua, ukikutana naye tongoza akizingua achana naye usizinguliwe na ka mama kamoja tu wakati wanawake ni wengi kuliko hata wanaume, unaenda kutafuta mtoto mkali kuliko yeye halafu unakatiza anga zake na mtoto akafe na wivu...
Watu waoga na dhaifu siku zote hutafuta pakujificha ameona kachuo kake hakana legacy kam ya UDSM kaja kumimina matusi hapa atabadilika tu najua anasubuliwa na foolish age in academic ukipata kile wana UDSM wanakiita INTELLECTUAL MATURITY hautayasema haya kwa sababu utadhalilisha taaluma yako...
mahusiano ya kimapenzi ni kitu kinacho changanya sana hata ukileta theory gani itakuwa disapproved muda wowote kwa sababu mapenzi ni subjective issue and not objective kama vilaza wengi wanavyoyachukulia
1 the summons john grisham
2 the chambers john grisham
3 33 concise strategy of war jina limenitoka kidogo,
4 Re-membering Africa by WATHIONG'O
5 Why nations fail.
6. Dead Aid by Dambisa moyo
7. just a matter of time by james hadley chase
8. The things men do by james hadley chase
9 The guilty...
mh jamaa aliteuliwa kuongoza commission ya bodi ya mikopo kwa wanafunzi baada ya migomo na migomo ikaisha ila naona siku hizi bodi ya mikopo wamepanda tena mbegu ya migomo ipo siku wataivuna tena time will tell
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.