Recent content by Maisha110

  1. M

    JamiiForums Tanzania Dr Shika akipata chaiii

    Ni daktari wa fani ipi?
  2. M

    JamiiForums Tanzania SUMATRA: Marufuku abiria kuzungumza siasa, dini, biashara ndani ya basi!

    Kwa Kasi ya namna hii, nadhani tunasafiri kinyumenyume. God bless Tanzania, and provide wisdom to our own leaders and those elected political officials,we can do better.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tupongeze tu: Balozi Masilingi anajitahidi US

    Subiri wakati was ku_renew passport yako utakapofika Kama unaishi nje ya Washington DC, ndo utajuwa Masilingi Ni walewale tuu, Hana mpango.
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Odinga mimi ni raia wa Tanzania nakuomba usmwage damu

    Waachie wazalendo was Kenya maandamano yao, haya kuhusu wewe ndg yangu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nchi kumi bora kwa askari wake kula rushwa Africa, iangalie Tanzania kama ipo

    Wapenda majungu kweli hawana shukurani. Jamani hatupo ndani ya hi list kwa kuwa Ni kweli Askari wetu hawalambi rushwa Kama wale was nchi zilizotajwa. Bwana asifiwe!!!!!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nyerere's legacy failed 100% (economically)

    I am concerned about your mental health, for bringing up this thread.Nyerere was and will be remembered as the man of the people. He may have fallen short on somethings, but he delivered most of the good things that makes us call ourselves Tanzanian. Thank you.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Mbio za Mwenge huwa anachaguliwaje?

    Mimi nilikuwa nafikiri kwamba mwanajeshi wa jeshi letu la Tanzania, hatakiwi kuonyesha itikadi Na mlengo Wake wa chama Cha siasa kwa kuwa yeye Ni mtumishi Na Mali ya serikali, je Ni vipi hapo kwa sasa?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Mbio za Mwenge huwa anachaguliwaje?

  9. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania kwanini tunakubali Rais wetu adhalilishwe na media za nje kwa kuitwa "The 'Bulldozer' Tanzanian President"?

    Come on people", It's just a nickname which means he works hard. Let's focus on some real i
  10. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania kwanini tunakubali Rais wetu adhalilishwe na media za nje kwa kuitwa "The 'Bulldozer' Tanzanian President"?

    Come on people", It's just a nickname which means he works hard. Let's focus on some real ideas and not be concerned about the unnecessary issues.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ni Tanzania pekee mshahara wa Rais ni siri

    Jamani tuache kulaanika tumpishe attend kazi yake. Huyu Ni mzalendo wa kweli.All you guys need to sit down, shut up, and enjoy the ride.
Back
Top Bottom