Tupongeze tu: Balozi Masilingi anajitahidi US

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,623
Reaction score
15,078
Pamoja na serikali kutokuwa na uhusiano kama wa zamani na US balozi Masilingi anajitahidi sana kwa wakati mgumu. Watanzania wa US walishakata tamaa na balozi lakini kama mdau naomba tumpe ushirikiano huyu balozi maana inaelekea anajitahidi pale iwezekanapo kujua matakwa ya Watanzania wa US na Mexico, ni mtu wa watu, haweki siasa mbele na anajitahidi sana kusaidia Watanzania kwa uwezo wake. Kama nilivyosema uzalendo ni kupenda nchi yako wakati wote na kupongeza serikali yako kwa mazuri na kukosoa kwa mabaya. Nampongeza huyu balozi kwa moyo wote.
 
Amejitahidi kwa kufanya nini?? Maana hata wamarekani wenyewe hawajielewi na Trump wao......sembuse nchi za Africa? Apambane na hali yake akijiandaa kustaafuuu!!! Kama kula amekula sanaa imetoshaa
 
kafanya nini Jimbo lake aliliacha mafuvu, Meli ya Halmashauri MV Muleba imeondoka chini yake huko ndiko kuleta maendeleo?
 
Hivi kuna wabongo bado wana muda wa ku deal na balozi tu? Kwa kisa gani kwa mfano?
Siku ukipata muujiza wa kuishi kidogo abroad utaelewa kwanini balozi anasifiwa na mwingine anapondwa.
 
Tatizo unaona muujiza kuishi abroad wakati watu wanaona muujiza kurudisha nyuma muda.

Unapo assume unajianika ujinga wako tu.

Abroad nimeishi miaka 20. Nchi ambayo balozi ndugu yangu wa karibu kabisa. Naitwa nyumbani kwa balozi nikakae na kina Kikwete na sijaenda. Niko kwenye shughuli zangu muhimu.

Acha ku assume assume tu kwamba wewe tu ndiye umekaa abroad na mtu akiponda habari za balozi hajakaa abroad.
 
Ningekuelewa kama ungesema ameleta mabadiliko katika biashara baina ya US na Tanzania kwa ku promote biashara za ndani na nje
Ubalozi ni sehemu ambayo unaweza pata information zote za nchi husika hata kama nataka kuleta karanga wao ndio wakutoa data zote.

Sasa hizo sifa zote kafanya nini
 
Malisingi kwani Ubalozi US kaanza jana au leo?
 
Kwi kwi kwi kwi watu hupenda kuandika pumba humu na kujifanya wanawafahamu watu humu.

Tatizo unaona muujiza kuishi abroad wakati watu wanaona muujiza kurudisha nyuma muda.

Unapo assume unajianika ujinga wako tu.

Abroad nimeishi miaka 20. Nchi ambayo balozi ndugu yangu wa karibu kabisa. Naitwa nyumbani kwa balozi nikakae na kina Kikwete na sijaenda. Niko kwenye shughuli zangu muhimu.

Acha ku assume assume tu kwamba wewe tu ndiye umekaa abroad na mtu akiponda habari za balozi hajakaa abroad.
 
Tatizo unaona muujiza kuishi abroad wakati watu wanaona muujiza kurudisha nyuma muda.

Unapo assume unajianika ujinga wako tu.

Abroad nimeishi miaka 20. Nchi ambayo balozi ndugu yangu wa karibu kabisa. Naitwa nyumbani kwa balozi nikakae na kina Kikwete na sijaenda. Niko kwenye shughuli zangu muhimu.

Acha ku assume assume tu kwamba wewe tu ndiye umekaa abroad na mtu akiponda habari za balozi hajakaa abroad.
Hahah when mongoose meet Lion.
Siku ukipata muujiza wa kuishi kidogo abroad utaelewa kwanini balozi anasifiwa na mwingine anapondwa.
 
Tatizo unaona muujiza kuishi abroad wakati watu wanaona muujiza kurudisha nyuma muda.

Unapo assume unajianika ujinga wako tu.

Abroad nimeishi miaka 20. Nchi ambayo balozi ndugu yangu wa karibu kabisa. Naitwa nyumbani kwa balozi nikakae na kina Kikwete na sijaenda. Niko kwenye shughuli zangu muhimu.

Acha ku assume assume tu kwamba wewe tu ndiye umekaa abroad na mtu akiponda habari za balozi hajakaa abroad.
hongera sana mkuu
 
Jamaa yangu mmoja juzi wame mpa viza kwa siku nne tuu (toka kuipeleka na kumrudishia kwenye mailbox).
 
Subiri wakati was ku_renew passport yako utakapofika Kama unaishi nje ya Washington DC, ndo utajuwa Masilingi Ni walewale tuu, Hana mpango.
 
Back
Top Bottom