Wewe ndio mbulula kabisa! Upeo wako mdogo mno wa kupambanua issues. U r not a GT at all. Nyie ndio mnaoandika humu JF ili majina yenu yaingizwe kwenye payroll Lumumba. Mwenzio kaleta data, names, events etc. Wewe huna hoja against hoja zake unatema pumba. Shame on you "seru-u"!
Namshangaa sana mleta mada hii sijuwi amelipwa kiasi gani! Mapovu yanamtoka kuwatetea wahalifu na wauaji halafu anajifanya hana interest na akina Madabida, tunawafahamu kuliko unavyowafahamu. Hutetei profesionalism yako ila unatetea ufisadi.
Tena nyamaza usituongezee machungu! Mdogo wangu amefariki 6 months ago kwa kutumia ARV zenu mnazoziita mlikuwa mnazipack tu kwa kutumia packing materials zenu! Tuna uhakika gani na contents zake kama mlikuwa hamchakachui? Mafisadi wakubwa nyie!
Haswaaa!
Mtoa mada amesema ukweli wote. Jaydee analalama nini leo? Mimi binafsi nasema Jaydee ni mbunifu lakini si mwimbaji bora kuwashinda akina Linah, Stara, Ray C, Jackline Ntuyabaliwe, Hafsa Kazinja, Mwasiti na wengineo wengi. Jaydee alipewa promo kali enzi hizo na akina Gadner Habash...
Na ni huyohuyo JK kumteua Mataka mwizi wa PPF aliyenusurika kufungwa na Mkapa baada ya ubadhirifu yeye akamhonga ATC aitafune vizuri. Na alipomtoa ATC pamoja na madudu yote ya Mataka, JK huyohuyo akampa NIC na kweli wakaimaliza vizuri. Huwa napata shida sana kumuelewa JK!
Kilichonishangaza zaidi ni pale Peter Serukamba alipotukana kwa kutumia neno "---- you" na kiti hakikuchukua hatua yoyote. Angekuwa mbunge wa upinzani angetolewa na polisi
Ni kweli kabsaaa. Hivi kwanza walifata nini huko? Ni haki yake mwekezaji kugoma kuongea au kuwaruhusu waingie kwa sababu kesi ipo mahakamani. Kama kesi ipo mahakamani kamati hiyo ya bunge ilifuata nini? nyambafu kabisa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.