Hello bra and Sist.
Naomba msaada wa kuanzisha shule (Sekondari ya kisasa ) yenye madarasa manne na ofisi mbili za walimu.
Shule hiyo iwe katika mazingira ya Dar es salaam.
pia na njia ya kuisajiri necta.
Unaweza kufundisha :Computer Applications : Kama Office Applications , Graphics Application , Accounting Package : Web Designing : Kama unaweza send me an sms
Nimeshangaa sana kuona kwamba unakopa then unaogopa kusimamia mpango wako ulouplann toka mwanzo : hata tukushauri vip lazima utaogopa ushindani : hakuna biashara isiyo na ushindani : Njia rahisi ya kukusaidia ili uweze kulipa pesa za watu labda ujaribu kununua hisa : nahofu kutoa mawazo yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.