Natafuta nafasi ya kujitolea information technology | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta nafasi ya kujitolea information technology

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Gamba Manoni, Mar 24, 2011.

 1. G

  Gamba Manoni Member

  #1
  Mar 24, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 51
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Tafadhali guyz natafuta nafasi ya kujitolea katika fani ya information technology ili kukuza kipaji katika fani, level yangu ya fani ni diploma . Tafadhali kama yeyote atakuwa tayari tuwasiliane kupitia 0682260333
   
 2. DON KILLUMINATI

  DON KILLUMINATI Senior Member

  #2
  Mar 24, 2011
  Joined: Jan 2, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  GONGA HAPA MKUU:

  http://www.freelancers.net/projects.html

  JIUNGE NA HUO MTANDAO UKIWA SHARP UTAPIGA PROJECTS NYINGI TU NA KULIPWA US$, WANALIPA KWA PAYPAL.

  WABONGO HATA KAZI ZA KUJITOLEA KUPATA NI ISHU, KAMA HUAMINI ANGALIA WANACHUO WANAOTAFUTA SEHEMU ZA FIELDS WANAVYOPATA TABU KUTAFUTA JAPO HAWALIPWI.
   
 3. tata mvoni

  tata mvoni JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  kweli ndugu siyo uongo maana mmh?!
   
 4. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mdogo wangu jaribu kujiajiri kazi hazilipi.
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  Mar 27, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  mpe mbinu zaidi za kujiajiri. Ningependa kuzisikia pia.
   
 6. B.O.G

  B.O.G Senior Member

  #6
  Mar 27, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hakuna mtu anataka kujiajili kama mimi ila sasa fani yangu ni DJ sijui nianzie wapi?
   
 7. m

  mbenye Member

  #7
  Mar 27, 2011
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  muombe akupe mbinu kama ujuavyo mtaji ndio issue
   
 8. G

  Gamba Manoni Member

  #8
  Mar 27, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 51
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ahsante kwa shauri zenu! Mie nimefikiria kitu, kwamba kama ajira hamna basi kwa fani yangu nimeamua nisajiri kampuni yangu binafsi ya mfukoni pale brela kwa sh 6000 nikiwa na maana ya kuanza kutafuta tenda katika makampuni binafsi na ya kiserikali. Nadhani ntafanikiwa, so kama kuna wenzangu wa namna hii basi nadhani hii ndo njia.
   
 9. Maisha Bora

  Maisha Bora Member

  #9
  Mar 27, 2011
  Joined: Mar 20, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unaweza kufundisha :Computer Applications : Kama Office Applications , Graphics Application , Accounting Package : Web Designing : Kama unaweza send me an sms
   
 10. Jimbi

  Jimbi JF-Expert Member

  #10
  Jan 14, 2012
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 871
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  kijana vipi? ulishapata mahala pa kujitolea?
   
Loading...