Recent content by Mais

  1. M

    JamiiForums Tanzania Eneo la biashara linauzwa

    Eneo zuri kwa biashara linauzwa liko Boko magengeni njia panda ya kwenda ndege beach JKT. Lina ukubwa wa 1330sqm. Kwa maelezo zaidi 0766 082252.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kiwanja Tegeta, Boko, Mbweni na maeneo ya karibu

    Nina plot Ya kama sqm 900 Boko Chama kando kando Ya barabara Ya Ununio mil 40.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Boko Chama

    Kiwanja kipo sehemu nzuri maeneo Ya Boko CCM kuna ukubwa wa sqm 920 (46x20), kinafaa kwa makazi! Bei 120 milioni (maongezi yapo) Email kwa maelezo zaidi: richie_massive@yahoo.com
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Boko Chama (Dar)

    Kiwanja kipo sehemu nzuri maeneo Ya Boko CCM kuna ukubwa wa sqm 920 (46x20), kinafaa kwa makazi! Bei 120 milioni (maongezi yapo) Email kwa maelezo zaidi: richie_massive@yahoo.com
  5. M

    JamiiForums Tanzania Adobe Photoshop Discussion

    Kwann tusianzishe whatsapp group Ya Photoshop corner?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Shamba linauzwa lipo Kibamba

    Shamba lenye ukubwa wa ekari 5 linauzwa, lipo Kibamba. Bei ni sh milioni 30. Kwa maelezo zaidi wasiliana na: 0713 747580 au 0713 767789
  7. M

    JamiiForums Tanzania Drip Irrigation System

    Furrow irrigation is conducted by creating small parallel channels along the field length in the direction of predominant slope. Water is applied to the top end of each furrow and flows down the field under the influence of gravity.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    nina full manual ya ufugaji nguruwe. kinauzwa elfu 20 kwa kopi. anayetaka awasiliane na: richie_massive@yahoo.com
  9. M

    JamiiForums Tanzania Bata Wanauzwa

    Kama wewe ni mpenzi wa nyama ya bata basi wasiliana nasi. Tunaweza kukuuzia bata walio hai au waliochinjwa (na kuandaliwa vizuri tayari kwa kupikwa). Bata wako maeneo ya Dar es Salaam, Boko Dovya njia ya kuelekea Ndege Beach. Bei: Dume ni Sh. 20,000/= na Jike ni Sh. 15,000/=. Karibuni. Kuweka...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Biashara kutoka China

    Naomba unipe taarifa zaidi ya kufanya biashara China. Email: richie_massive@yahoo.com
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nataka Kutengeneza BLOG

    Nahitaji mtaalamu wa kunitengenezea blog kwa bei nzuri. Kwa maelezo zaidi tuwasiliane: richie_massive@yahoo.com
  12. M

    JamiiForums Tanzania Help Please: Business Plan

    Nahitaji kuandika business plan (itakayoweza kutumika kuombea mkopo benki) ya kufungua kampuni ya Video Production/Graphic Design. Naomba mtaalamu wa kuandaa business plan anisaidie.
  13. M

    JamiiForums Tanzania King'amuzi kizuri

    DSTV ndio kiboko!!!!!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kidoti Kwenye Namba 5 Katika Keypad Ya Simu/Calculator/TRA'S EF Device/Scanner/Fax Machine...

    hicho kidoti ni maalum kwa waltumiaji simu kwa wale wasioona.
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Describe your ex only with movie titles..

    Fatal attraction...
Back
Top Bottom