Kidoti Kwenye Namba 5 Katika Keypad Ya Simu/Calculator/TRA'S EF Device/Scanner/Fax Machine...

Kidoti Kwenye Namba 5 Katika Keypad Ya Simu/Calculator/TRA'S EF Device/Scanner/Fax Machine...

Iselamagazi

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
6,083
Reaction score
6,239
Habari zenu wakuu!

Jana nikiwa ktk kibanda cha Fundi simu, nilishuhudia simu nyingi mbovu zilizopelekwa pale kwa ajili ya matengenezo, zikiwa na kidoti kidogo cha duara kwenye button namba 5 ya keypad. Nilipoangalia simu yangu, niliona nayo pia ina kidoti hiki. Nilijaribu kufanya udadisi kidogo kwa Fundi simu, kumbe naye hakujua kidoti hiki kina kazi gani.

Leo nimejaribu kufanya a simple research kwa kuangalia baadhi ya devices zenye keypad kwenye kibanda changu na kukuta kuwa kidoti hiki kipo pia ktk: calculator, Fax Machine, TRA'S EFD (Incotex 131F & 500F), scanner na simu ya mezani(HUAWEI).

Nimeangalia pia ktk LapTop yangu, sijaona kidoti hiki ktk button 5, bali nimeona bars ndogo mbili ktk buttons zenye herufi F & J.

Ningependa kufahamu, hicho kidoti na hizo bars zina kazi gani?
 
Kaka kwa ufahamu.... Wangu

namba tano ni center keypad
hivyo inawapa urahisi wenye matatizo mbali mbali
.
Hata kwenye qwerty keypad utaiona tu
.
Believe in science fact hauta danganywa na religious facts
 
Kaka kwa ufahamu.... Wangu

namba tano ni center keypad
hivyo inawapa urahisi wenye matatizo mbali mbali
.
Hata kwenye qwerty keypad utaiona tu
.
Believe in science fact hauta danganywa na religious facts

Sijadanganywa mkuu, nataka kujua tu.
 
Kwa uelewa wangu zinawasaidia wasioona mfano! Akigusa number 5(centre) anajua kulia ni 6 kushoto 4 kwenda chn ni 8,0 juu ni 2, juu kulia ni 3 juu kushoto ni 1 n.k.
 
mkuu wakati tunajifunza Ku type miaka iyo ni kuwa wakati unaaza kutype kwenye Microsoft word,kidole gumba cha mkono wa kushoto ukaa kwenye herufi F na gumba la kuliA ukaa kwenye herufi J,then unapanga vidole kwenda kulia na kushoto,kwa iyo katikati ubaki herufi ya G and H ,kwa iyo izo a lama umsaidia MTU kujua starting point...kwa masekretari iyo umfanya ataype bila hata kuangalia keyboard.........
 
mkuu wakati tunajifunza Ku
type miaka iyo ni kuwa wakati unaaza kutype kwenye Microsoft word,kidole
gumba cha mkono wa kushoto ukaa kwenye herufi F na gumba la kuliA ukaa
kwenye herufi J,then unapanga vidole kwenda kulia na kushoto,kwa iyo
katikati ubaki herufi ya G and H ,kwa iyo izo a lama umsaidia MTU kujua
starting point...kwa masekretari iyo umfanya ataype bila hata kuangalia
keyboard.........

Na kwenye Fax Machine unasemaje mkuu?
 
Na kwenye Fax Machine unasemaje mkuu?

Katika keyboard ya computer upande wa kulia kuna button za number tu na mfumo ule ule ndio unaotumika katika fax machine, lengo la kuweka Alama ile katika number tano ni kurahisisha kufanya typing ambapo ukianzia number tano unaweza kujua button zote bila hata kuangalia Kwa waliojifunza typing hii kwao si issue. Download program moja inaitwa Mavis beacon hii inakupa training ya Hadi Hizo button za fax.
 
wabongo kwa kuamini ushirikina watakuambia ni no inayo wakilisha freemason du bongo bana tutachelewa kupata maendelea wengi wetu.
 
Back
Top Bottom