Recent content by mainda211

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nashukuru nimeitwa UHAMIAJI

    mungu yumwema ata mm nimechaguliwa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji mambo tayari wale wa koplo na kostebo

    thanks tayar nshaona
  3. M

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji mambo tayari wale wa koplo na kostebo

    mbona hatuoni tupia link hapo tufungue
  4. M

    JamiiForums Tanzania Majibu ya usaili uhamiaji lini ?

    bado hayajatoka
  5. M

    JamiiForums Tanzania Majibu ya usaili uhamiaji lini ?

    hawa wanaenda chuo cha polisi moshi
  6. M

    JamiiForums Tanzania Majibu ya usaili uhamiaji lini ?

    subiri tu maana wakaguzi wanaenda depo alhamis hii.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano kupinga ripoti ya tume ya Uhamiaji

    alafu if this issue doesnt concern u plz keep distance tuacheni tufanye yetu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano kupinga ripoti ya tume ya Uhamiaji

    watu wengne bwana yani wapo duniani apa kwa ajil ya kuvunja watu moyo kupigania haki ni moja ya dhawabu hapa dunian
  9. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano kupinga ripoti ya tume ya Uhamiaji

    kila kitu kipo kiongoz.sema muda wakat na wapi tupo tayar kutoa ushirikiano wote tupo pamoja katika hili
  10. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano kupinga ripoti ya tume ya Uhamiaji

    hatulazimishi chochote bali tunatetea haki zetu kma watanzania
  11. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano kupinga ripoti ya tume ya Uhamiaji

    huu ndo mwanzo wa kujuana swala ni lote wote hatuna budi kushirikiana
  12. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano kupinga ripoti ya tume ya Uhamiaji

    jaman weken contacts zenu bas ili tuwasiliane tujue itakuaje tupo weng sana katika swala hili ni vema tungeshirikiana tuone tunalitatua vip
  13. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano kupinga ripoti ya tume ya Uhamiaji

    safi sana.tuombe mungu tu atusimamie katika kupata haki yetu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano kupinga ripoti ya tume ya Uhamiaji

    jaman hii ishu tusiifanyie utani.ni vema tukutane tujadili hli swala la kumpeleka mwanasheria kabla wizara haijatangaza chochote
Back
Top Bottom